Kuangalia mpira na wanawake ni shiiidah

Hili pambio la watan wetu, wanazidi kutubambikia udhaifu mpaka kwenye manyumba yetu.

everlenk Asernal tuko wavumilivu kama watanzania wanavyoivumilia ccm na mafisadi wake.

Hahahaha!!!! Aisee kwa uvumilivu nawapa A+
 
Last edited by a moderator:
Ukishaona hizo kero unajiongeza akili kwamba nia yake siyo mpira wa kwenye luninga, ni mpira wa...
 
Umenikumbusha lile tangazo la Coca Cola katika World Cup

Binti: We Won!! We Won!! We Won!!
Njemba: But it's only half time?!
Binti: Ooooooh.. [huku akiona aibu kinoma noma]

Clueless
 
Ehehehehehehe
My home boy Maranzana why you damn crank up my ribs intentionally?

Hehehehe mm mke wangu hapendi kabisa soka!Akiangalia dakika 5 hamna bao anasonya anaondoka!

Anapenda high scoring game kama basketball
 
Last edited by a moderator:
anajenga kibanda pale..............................
 
Ni nani yule mzee anafanana na Mr. Bean? Wife kaua.
 
ningempiga marufuku kuangalia soka. kwanza msumbufu
 
Yamekuwa haya tena? mtu wangu hata wewe unatupatia kibano tena maweeee!

Hahahahaha!!!! Sorry wangu yaani nilikuwa namuonyesha tu nilivyotumiwa si nikasahau kumbe ni public hahahah!! Nisameheni bure mi si unajua timu gani.....
 
Ha ha ha haaaa masikini mbavu zangu!
 

thanks guys u just made ma day...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…