Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Shirika la Utangazji BBC waliomba radhi baada ya sauti ya video ya Porno kusikika kwenye matangazo ya Mpira

Kuna Watu sijui kwanini hawawezi kujizuia jambo.
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Hahaha haha huyo dingi kaiva
 
Nawewe ungeweka mahuburi au mawaidha
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Mwanamke au mwanaume?
Kama ni mwanaume ana malengo ya ziada,anakutamani.
Lakini kama ni mwanamke basi amepinda!
 
You don't have even one character of a real gentleman.

  • A gentleman is generous with his time, wisdom, and resources. He willingly serves others and extends a hand to those in need.
  • A gentleman possesses a positive outlook on life. His humor and consistent encouragement attract others to him.
  • A gentleman is a lifelong learner. He maintains a teachable posture and embraces change for the better.
  • A gentleman models civility in how he treats others. He demonstrates respect, restraint, and personal responsibility in all his interactions. He is honorable, and values and respects others.
  • A gentleman is well-mannered and knows what is appropriate. He is able to navigate various social and professional settings with ease and proficiency. He embraces all people – those from other cultures, as well as individuals from various social and economic backgrounds.
  • A gentleman possesses a strong work ethic. He takes pride in his labor and strives to give his very best. He is trustworthy, loyal, and people speak well of him.
  • A gentleman is confident. His posture and body language communicate a strong personal presence.
  • A gentleman is well-dressed. He knows how to select clothing that is appropriate for any occasion and that will assist him in accomplishing his goals. He is well-groomed and practices good hygiene. He understands that his personal appearance – the way he chooses to dress, groom, and carry himself – opens doors to new opportunities.
  • A gentleman is well-spoken and a generous listener. He knows how to effectively connect with others and communicate his message.
  • A gentleman is known for his integrity. He is a man of his word and follows through with his commitments, whatever the cost. His actions reflect who he has chosen to be and are not based upon the opinions of others
Maneno ya motivational speakers hayo.
 
Haya mabasi ni two by two na hiyo tablet ameiweka kwa namna ili uone makusudi anachokitazama
Mkuu hadi fractional# ya umri wake kabisa!

Eti miska 46, mtu haujuani naye kweli!

Labda ungelitumia neno "takribani" ningelikuelewa bila kuhoji.

Lakini ulivyoweka miaka yake kwa usahihi, nikajua na kujua kumekucha, tayari alishajieleza sana huyo lazima atakuwa tu ni mchumba.

Alirusha ndoano ikafikia sehemu amejieleza weee hadi akachoka na wewe ukawa na msimamo wako hautaki "makelege" .

Kiburi kikampanda kichwani akaona mmalizane naye kwa njia hiyo ya "raha".

Kutongozana kuna tabu nyie!
 
Hivi nani aliwaambia kwenye mabasi ndio unaopoa pisi kirahisi? Wengi huwa wametumiwa nauli, na huko waendako wanakuta jamaa kajiandaa kwelikweli, nazi, karanga, mboga za maboga vimeliwa sana. Ukifika tu na maji ya moto anakuopelekea bafuni
 
Umeonaeeh! Wengine huenda mbali zaidi pamoja na mkongo wa Taifa😆😆😆👐👐!
 
Hii hua narudia sana kuiangalia maana President alitisha mbaya....🤣🤣
Wanajeshi wetu walipoiteka Ikulu ya Uganda (The Nile Mansions) mwaka 1979 walikuta majarida ya ngono ofisini mwa Rais Idi Amin (wafia dini mje mumtetee). Sema tu ilikuwa miaka ya zamani, ila ingekuwa ni leo jamaa hangekosa kuwa na membership CHAPUTA.
 
Back
Top Bottom