Kuanguka kwa Diamond na kupaa kwa Davido

Mtoa mada unaongea vitu vya wapi..ni lini diamond alikua juu kuzid davido?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ninachokiona kwa Diamond ni hiki
1.Ameanzisha recording label ya Wasafi na kusajili wasanii ambacho ni kitu kizuri tu ila shida inakuja kuwa wasanii alionao anawatreat very fair business wise kiasi ambacho inampa shida kubalance new track releases.
2.Ndani ya kundi lao LA Wasafi .Diamond ameshindwa kutoka nje ya mawazo ya kimuziki ya akina mboso,rayvany na lavalava kiasi ambacho hakuna kipya katika Muziki wao kwani kila Siku Maneno ni yaleyale pia wapo ki matusi zaidi huku wakijidangaya kuwa wanaburudisha.Diamond anatakiwa kuwaza nje ya box LA hawa watoto wake kimuziki.
3.Diamond haamini kuwa anaweza kusimama yeye kama yeye na akafanya kazi nzuri inayokubalika Afrika nzima.The way alivyoanza kwa collabo ikamfanya maarufu bado jamaa haamini kuwa anaweza kutoa hit song bila collabo ya staa WA Naija.Hili no tatizo
4.Diamond ana menejimenti iliyokaa kiswahili sana licha ya kuwa inafanya vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
diamond inabidi abadilishe ile menejimenti na aache kuwa fair sana..
 
"kuibuka kwa wasanii wapya Kama Tekno miles na Wizkid kulimshusha chart"


Hapo ndipo umechemsha kwa taarifa yako wiz kid ndio wa kitambo kuliko davido.
"Tease me" na halla at ur boy unazijua

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Diamond yupo juu kwa wasanii wa tz tu na si Nigeria hasa hao wenye mfanano na level za kina Davido
 
Wasafi buku 7 watakurarua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yao waachieni wenyewe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…