Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

Tofautisha Flamingo na izo timu ngumu anazokutana nazo,,,Mechi ya Flamingo Liverpool walizidiwa siyo wachezaji kuchoka,,,Club za Brazil,,Argentina ukanda wa America kule mpira wanaucheza mwingi Ila tu hawana promo. Ubingwa wakiupoteza ni uzembe wao siyo wachezaji kuchoka Mana Wana kikosi kipana.
 
Unamaanisha ligi ya Brazil ni bora kuliko za ulaya top 5?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina ila ngumu sana. Tatizo ni mkimbizaji anajikwaa kwaa.
 
Msimu huu kikosi kimechoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Umejuaje kama kikosi kimechoka? Maana ajapoteza hata mechi saizi.kama wamechoka kwenye mechi naflamingo mbona hajafungwa? .kama unajua mpira mechi na flamingo ilikuwa tosha kuwapa ubingwa Liverpool maana kwa ule mpira hakuna timu ya kumfunga Liverpool kwa sasa hapo epl.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inakuwaje liver apoteze points 11 halafu atoke kwenye mbio za ubingwa?
 
Wewe utakua ni shafii dauda au edo kumwembe?🤣🤣
 
Msimu uliopita alikutana na mechi saba ngumu na hakupoteza hata moja so keep on dreaming.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasahau haraka hawa.
Tusubiri masaa machache tuanze kuona utabiri wake.

Mimi naamini hata Liverpool ikipoteza mechi yake na Leicester City tarehe 26 December 2019 bado ana nafasi ya kuwa bingwa.
Nawaona hao Manchester City na Leicester City wakipoteza pointi kadhaa kabla ya ligi kuisha.
 
Kwa Kuchagizia tu ni kua Kila Liverpool ilipokua ikiongoza Ligi mpaka Xmass basi mwishowe iliishia kua ya pili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…