Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano wa izi ligi?
Shida itakuwa unaijua first eleven tu,, substitution zake huzijui ndio Mana unashangaa kuwa na kikosi kipana🤸🤸
Ha ha haAnd the rest will be history
In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city
Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo
KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja
Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers
Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL
Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi katabiri tutafungwa na FlamengoHuyu mchawi inabidi aachane na hii kazi ya kuwanga. Vibuyu vyako hamna kitu vinakudanganya kila siku.
And the rest will be history
In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city
Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo
KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja
Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers
Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL
Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool atadondosha point 3 leo
NB:Haya ni maoni yangu
Ukweli upi mkuu?