Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

Mwingine huyu
Mwaka huu haki ya nani watakufa kwa kihoro! Kila mechi iliyombele yetu lazima mtu agongwe! Manure mwenyewe anakuja machinjioni sasa anaponaje? Chealsick naye vivyo hivyo sasa anaponaje?
 
Mashabiki wa Manure wawe waungwana kama huyu mwenzao wamsikilize anavyokiri kuhusu Liverpool na kuhusu TAA!

 
Poleee...

#YNWA
IMG-20191227-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
And the rest will be history

In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city

Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo

KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja

Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers

Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL

Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ndugu mbona umekua kimya sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom