Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

Kwa Kuchagizia tu ni kua Kila Liverpool ilipokua ikiongoza Ligi mpaka Xmass basi mwishowe iliishia kua ya pili .
View attachment 1303789

Idadi ya point kwa msimu huu ni nyingi sana anazoongoza nazo.almost point 14. Huko nyuma alikuwa anaongoza na point chache sana.sasa hivi hilo amelijua ndio maana safari ni unbeaten mpaka Christmas droo mechi moja tu. Huu msimu ni tofauti sana na misimu mingine,huu msimu ndio imekuwa ndio timu bora kwa sasa duniAni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Liverfool wanakikosi kipana??[emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hamtaki kusiki liverfool wanapopolewa sio??

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka kusikia ila baada ya mechi, tunajua hatuwezi maliza ligi bila kufungwa lakini sio kutupigia ramli chonganishi, mlianza kusema tutapigwa na flamingo matokeo yake tukashinda
 
Leicester, West ham,wolves, spurs

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo zote mbona hakuna wakumfunga Liverpool hapo,umejuaje labda maana hizo timu mara ya mwisho zimefungwa na Liverpool,hazijamfunga Liverpool hizo .msimu ulipita zijamfunga Liverpool na msimu huu hizo alishacheza nazo kazifunga maana Liverpool hajafungwa hata mechi moja.umejuaje kama hizo mechi ni ngumu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Bandiko hili nime liifadhi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
leicester, wolves, sheff utd, spurs, utd, wolves........

[emoji1432][emoji1432][emoji1432][emoji1432]hizi ndio mechi zako 6 ngumu ambapo umetabiri liver atapoteza 3, sare 1 na kushinda 2!


ndoto zingine sio nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Ugumu umeuonea wapi maana hizo timu zote Liverpool amezifunga msimu ulipita nje ndani na msimu huu amezifunga tayari,ugumu umeuonea wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu sio mimi, nimeshangaa sana aliposema mechi 6 zijazo liver atapoteza 3 na kudroo 1, ndio nikamuuliza ktk hizo atapoteza ipi na ipi......


huyu jamaa hana tofauti na mchawi
Ugumu umeuonea wapi maana hizo timu zote Liverpool amezifunga msimu ulipita nje ndani na msimu huu amezifunga tayari,ugumu umeuonea wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…