4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Ndo namuuliza baada ya hzo mechi sita hachezi tena? yaan mnaongea kana kwamba Man City & Leicester City wataendelea kucheza hlf Liver anaishia hzo mechi sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo namuuliza baada ya hzo mechi sita hachezi tena? yaan mnaongea kana kwamba Man City & Leicester City wataendelea kucheza hlf Liver anaishia hzo mechi sita
Kwa Kuchagizia tu ni kua Kila Liverpool ilipokua ikiongoza Ligi mpaka Xmass basi mwishowe iliishia kua ya pili .
View attachment 1303789
Kazi pekee ya Mashabiki wa Man Utd waliyobakiwa nayo ni kuchukua mikoba ya Sheikh Yahya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha Flamingo na izo timu ngumu anazokutana nazo,,,Mechi ya Flamingo Liverpool walizidiwa siyo wachezaji kuchoka,,,Club za Brazil,,Argentina ukanda wa America kule mpira wanaucheza mwingi Ila tu hawana promo. Ubingwa wakiupoteza ni uzembe wao siyo wachezaji kuchoka Mana Wana kikosi kipana.
Nikuulize swali , Nitajie sifa za ligi bora duniani?ukiachana na timu kuchukua UEFA au kupeleka timu nyingi kwenye nusu fainali UEFA na kutoa mchezaji Bora wa dunia,,sifa za ligi bora ni zipi?
Nani ambae hajachoka?
Tunataka kusikia ila baada ya mechi, tunajua hatuwezi maliza ligi bila kufungwa lakini sio kutupigia ramli chonganishi, mlianza kusema tutapigwa na flamingo matokeo yake tukashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hamtaki kusiki liverfool wanapopolewa sio??
Sent using Jamii Forums mobile app
And the rest will be history
In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city
Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo
KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja
Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers
Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL
Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%
Sent using Jamii Forums mobile app
leicester, wolves, sheff utd, spurs, utd, wolves........
[emoji1432][emoji1432][emoji1432][emoji1432]hizi ndio mechi zako 6 ngumu ambapo umetabiri liver atapoteza 3, sare 1 na kushinda 2!
ndoto zingine sio nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio shida ilipo........ anasema liver atapoteza as if city watashinda zote!Ndo namuuliza baada ya hzo mechi sita hachezi tena? yaan mnaongea kana kwamba Man City & Leicester City wataendelea kucheza hlf Liver anaishia hzo mechi sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu umeuonea wapi maana hizo timu zote Liverpool amezifunga msimu ulipita nje ndani na msimu huu amezifunga tayari,ugumu umeuonea wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums