Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

Mkiwa na rais dhaifu hayo ndiyo matokeo yake. Chawa wanasema anaupiga mwingi ila uhalisia unakataa
 
Privatisation ilikuwa ni Lazima

Hata sasa watu hawana uwezo bado.

Watu wana Elimu ya Academics lakini hawana Skills.

Ndo maana unaanza kusikia Mambo ya VETA.

Kuna gape kubwa sana ya Uwezo wa watu wa kushindana KIBIASHARA ktk level za kimataifa!

Hata uzalishaji wa kawaida wa Mashambani uko chini kwa Sababu ya Skills...siyo kwa Sababu ya kukosa Mbolea hapana.. !

VETA ni muhimu na ilenge maeneo yote ya UCHUMI wa Nchi!
 
Ukinisoma kwa pole pole utagundua kuwa sikukataa privatization ila modus operandi yake....Mitaji hujengwa na raia husaidiwa kuijenga ni principles za kiuchumi (inaitwa general equilibrium theory) ndiyo kazi ya serikali yeyote dunani, otherwise kazi ya serikali ni ipi? Kama siyo governance? Ya kitu gani? Tupunguze siasa tuongeze weledi...Uchumi ndiyo kipimo pekee cha weledi wa governance ya nchi yeyote duniani
 
tufanye nini hili tujinusuru na wimbi hili la kuzorota kiuchumi?

wana uchumi tusaidieni hapa nadhani viiongozi wakisoma haya watafuata mwelekeo
Tukubali kubadili katiba kupunguza power ya individuals kuingilia mifumo...Tujenge mifumo imara itakayosaidia kuweka economic dorminant syatem badala ya hii ya sasa ya political dorminance ambayo wakoloni walituachia baada ya kutupa uhuru wa kisiasa na kuchukua indirect control ya chumi zetu kisha kuwafanya viongozi kuendelea kuwa mawakala wao ku control chumi zetu kupitia hiyo dominant system ya siasa kushika hatamu...

Nchi zote waliong'amua hilo, wamechomoka, tumebaki Sub Sahara Africa na nchi za Central and baadhi ya South America
 
Soma pale reference, kisha endelea kuelimisha jamii...
Reference ipi?
Hakuna nchi ambayo vitu havipandi bei eti vinabaki vilevile.

Hata Marekani dola 100 ya mwaka 2000 haina thamani kama dola 100 ya leo, hata Kenya, hata China ama popote ishu ni spidi ya kupanda bei

Spidi inaweza kuwa kubwa au ndogo kutegemea na factor kadhaa kama vile majanga ya ukame, mafuriko, vita ama bei ya mafuta, na uchumi wa dunia kiujumla
 
Hihii yako 2018 vitu vilishuka bei...Kaangalie price index kisha linganisha na za nyuma na hii ya sasa...Usikariri mambo...
Na repost hapa

 
Hihii yako 2018 vitu vilishuka bei...Kaangalie price index kisha linganisha na za nyuma na hii ya sasa...Usikariri mambo...
Leta hiyo price index unayodai wewe, maana mimi siwezi kutafuta kitu ambacho hakipo
BOT ilikuwa ikitoa takwimu za kupanda kwa bei na zilikuwa ni 3% hadi 4% hazijawahi kuwa negative, maana negative ndio kushuka
 
Leta hiyo price index unayodai wewe, maana mimi siwezi kutafuta kitu ambacho hakipo
BOT ilikuwa ikitoa takwimu za kupanda kwa bei na zilikuwa ni 3% hadi 4% hazijawahi kuwa negative, maana negative ndio kushuka
Utakuwa na matatizo...Kila la heri!
 
Wewe ndio hujui kabisa, au pengine hata English ni tatizo
Inflation ya 3% ni vitu "kushuka bei"?
Inaelekea upo primary bado...Haya kila la heri pengine ndiyo ajira yako hii...
 
Hivi unataka kusema mchele ulionunuliwa 2021 kwa sh1300 na mchele ulionunuliwa. 2022 mwishoni kwa 3500 hapo kilichopanda thamani ndani ya mwaka mmoja dft ya 3 times ni mchele au hela yenyewe ,ebu tufafanulie time value of money mchumi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…