Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

Unaposema unashuka bila kuweka data sijui tutakuelewa vipi tuambie wakati wa Magufuli ulikuwa% ngapi na sasa upo % ngapi?
Data za uchumi wakati wa jiwe zilibishaniwa siyo tu na WB bali na IMF kwamba hazikuwa sahihi.
Lakini data za uchumi hata ziwe nzuri kiasi gani hazina maana kama hali za maisha ya wananchi zinaendelea kuwa mbaya kila siku.
 
Hakuna taifa uchumi ulishakuwa Kwa Kodi kubwa kama Tanzania kodi kubwa na kutegemea misaada usitegemee uchumi kukua Kodi ndogo kwa wawekezaji ndiyo huchochea uchumi ila Kwa hizi rundo za Kodi za Tanzania usitegemee lolote
 
Kuna hili la upigaji wa pesa za umma. Hakuna sehemu iwe idara, wizara, halmashauri, etc ambako hakuna upigaji. Na serikali inaangalia tu bila kuchukua hatua.
 
Ni kweli mkuu, mwaka 1962 Debe la mahindi tulinunua senti Sabini (70cent)
 
Yaani mkulima aache kuuza mahindi nje ili asaidie nyie kupata mlo wa bei rahisi? Kwahiyo mkulima hataki faida, bali yeye ni daraja la kuwapunguzia ugumu wa maisha?
 
Yaani mkulima aache kuuza mahindi nje ili asaidie nyie kupata mlo wa bei rahisi? Kwahiyo mkulima hataki faida, bali yeye ni daraja la kuwapunguzia ugumu wa maisha?
Wanampangia mtu namna ya kuuza mazao utafikiri wao hawana mikono.
 
Wewe ndio mjinga,sababu Export ya Tanzania kwenda Kenya ni Raw Materials ikiwemo chakula kwa 85%.

Bei zimepanda,hao World Bank hawajui huku site tunaishi vipi!

Sababu wao wanatumia Data za NBS, ambazo wapishi ndio hao hao kina Mwigulu Nchemba.

Unapomtukana mtu kwamba mjinga wakati ametoa tathmini yake ya kueleweka,wewe ndie unakuwa mjinga kwa kuishi na Copy & Paste.
 
Mjinga mingine huyu
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu vitu havijawahi kushuka bei awamu yote ya tano.
Tenganisha facts na personalities...Unaweza ukamchukia mtu aliyekuwa ananasibishwa na hayo lakini figures huwa hazidanganyi...it goes with a saying, mchawi mchukie haki yake mpe
 
Tenganisha facts na personalities...Unaweza ukamchukia mtu aliyekuwa ananasibishwa na hayo lakini figures huwa hazidanganyi...it goes with a saying, mchawi mchukie haki yake mpe
Inapotokea Taifa likawa na asilimia kubwa ya watu kusifia sifia viongozi jua taifa hilo limekufa.Hata wewe ukiwa na marafiki wengi kuliko maadui ujue hufai,au ukiwa na maadui wengi kuliko marafiki ujue hufai,sifa kuu kwa mwanadamu upendwe na baadhi ya watu na uchukiwe na baadhi ya watu huo ndiyo ubinadamu.
 
Kwahiyo chuki na mapenzi hayo yanahusiana vipi na figures za inflation ya nchi? Si ndiyo ninyi hamtaki tujenge mifumo imara badala ya kuiona nchi ndani ya mtu tuione ndani ya taasisi zake?
 
Kwahiyo chuki na mapenzi hayo yanahusiana vipi na figures za inflation ya nchi? Si ndiyo ninyi hamtaki tujenge mifumo imara badala ya kuiona nchi ndani ya mtu tuione ndani ya taasisi zake?
Mifumo ya kufanya Chato kuwa Mkoa ni mifumo??Mifumo ya kufanya Chato iwe nchi ni mifumo???Acheni upumbavu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…