Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Utawala wa bashar al assad umeanguka
Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo
Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni wa-sunni mda wote kuanzia mwaka 2011 assad aljikuta anapigana na wananchi wake ambao ni wa-sunni huku mataifa ya kisunni yakimtenga na kusaidia vikundi vya waasi unaweza ona ugumu aliokua anapitia assad
Madhara ya mashambulizi ya iran kutoka israel ni makubwa sana japokua iran alitumia propaganda kubwa sana ku-downplay madhara na kupindisha ukweli ila kamwe huwezi pingana na ukweli in long run
Madhara ya mashambulizi ni makubwa sana na yameiweka iran kwenye wakati mgumu sana kijeshi sababu kambi zake za kijeshi zimeharibiwa sana na israel
Iran kuuliwa kwa wale magenerali wa kijeshi na israeli kumuwewayumbisha sana sababu majeneral waliopo hawana uzoefu waliokuwa nao wale waliokufa
Vikwazo alivyowekewa urusi vimeiweka urusi kwenye wakati mgumu sana tunakumbuka utawala joe biden ameiwekea urusi vikwanzo vingi sana na mda huo huo akawa anapigana na ukraine vita ambavyo urussi ali-miscalculate vibaya mno
Ukichukua vikwazo vya kiuchumi vya russia na vita ya ukraine vinamuweka urusi kwenye wakati mgumu sana plus putin kumuua kiongozi wa wagner lile lilikua kosa kubwa sana sababu urusi anapwaya sana anakosa watu ambao ni mastermind ambao ni wachache