Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Tukumbuke Chenge ni Harvard product, na jinsi alivyoplan, yaani kutumia mtego wa bora tukose wote ili kumharibia sita imefaulu

So what is so special being Harvard product? Anayo Nobel Peace Prize? Ni mwizi na jambazi na mzinzi tu! Hana jipya as much as Sitta!
 
 
kuna watu kama sitta watoke kwenye chama chetu yani hawapendi wizi na ufisadi? sasa tutatajirika vipi? sitta nenda chadema ndio wanamtazamo wako sisi ufisadi mwanzo mwisho , na wambie mwakyembe,kilango,sendeka. dawa yao inakuja
 

Wengine wote wasindikizaji tu....
 
Jamani kwani kupiga kura si inakuwa siri?au cc wanapiga kura kwa kunyoosha vidole?Kama ni siri tuamini kulikuwa na fair play katika zoezi zima.Pia ukisoma hiyo list,utaona majina ya watu wenye busara sana kama Mzee Mkapa ambae UN inamtambua mpaka imempa majukumu mazito
 
Je CCM siku hizi ni chama cha kidini??? Mbona kuna imbalance kwenye hii kamati zaid ya 70% ya Watanzania ni wakristo lakini kamati hii wakristo ni less than 40%, kulikoni????
 
Je CCM siku hizi ni chama cha kidini??? Mbona kuna imbalance kwenye hii kamati zaid ya 70% ya Watanzania ni wakristo lakini kamati hii wakristo ni less than 40%, kulikoni????

lakini kumbukeni CCM ni uzao wa TANU na tanu ni uzao wa TAA sasa angalia TAA wajumbe wake wote ni waislamu kasoro wakuja NYERERE sasa nyie mnadhani tuwaanzishie chama ili mje mtawale, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pinda nae out
 
Hatimaye CCM wamefanikiwa kumtoa Mh Sitta kutoka kiti cha uspika. Badala yake wameleta mambo ya Gender: Ana Makinda, Ana Abdalla na Kate Kamba! Sipingi uteuzi wa hawa waheshimiwa lakini ninahofu pale kinapotumika kigezo kimoja tu cha Jinsia kuteua Spika. Hivi CCM wameangalia kipaumbele cha Watanzania kwa sasa au wanatafuta sababu za kulindana kama sera zao zinavyosema? Nafikiri sasa ni muda muafaka wa CCM kutuambia sababu nyingine zaidi ya kuteua hayo majina ili turidhike na uteuzi huo.
 
Spika aliyemaliza muda wake S.Sitta amefanya mambo mengi ya kukumbukwa katika Bunge letu hivyo aisimamie rekodi hiyo.Kitendo cha kukubali kupewa cheo kingine eti kama kupozwa ni unafiki kwani bila zengwe alipaswa kumalizia aliyoyaanzisha kama JK alivyofanyiwa kwa kuchakachua matokea.Haya ni mawazo yangu na niko tayari kukosolewa.Mbona zanzibar wamemrudisha Kificho Bara kuna nini????
 
Lazima na yeye awepo kwenye kamati. Asipokuwepo watastukiwa. Lakini muda wa kuchagua wagombea wote walitoka nje.
 
Naona huyu KATE KAMBA utendaji wake utakuwa sawa na MAKAMBA
 
Mbona vibaragashia vingi sana kwenye hii kamati.

Poa wazee inabidi nirudi kubeba box, mchana mwema.

Hivi nyie mbona mnaleta udini sana au na CHADEMA ndio msimamo wake?? Utafanya mtu atukane kama umekosa cha kuongea bora ulifunge na kama una uchungu na uislam kwa kamtu kama wewe utabaki unajiumiza roho bure coz huna cha kufanya. Sisi wengine ni waislam na tumechagua upinzani sasa unachotaka kukileta ni mfarakano. Nakuomba ulifunge hilo lako na mapema
 
Nini busara ya mzee wa KOKOTO?
 
Achana nao,watakuumiza kichwa bure na matibabu yenyewe siku hizi ni ghali!
 
basi mh kasamehe ako kakijana kwani hakajui kuwa ccm ya sasa inawenyewe
 

Nakupongeza kwa kukataa udini wewe ndiye mtanzania halisi na mzalendo unayelitakia mema taifa letu.

Ukienda bungeni unaweza kukuta wakristo ni wengi, kamati kuu ya ccm WAISLAMU NI WENGI, TRA na BOT unaweza kukuta wakristo ni wengi, uongozi wa juu Umoja wa Wanawake CCM Waislamu ni wengi. Hili jambo la kawaida katika nchi ambayo inachagua viongozi bila kuangalia dini ya mtu, huwezi kupata uwiano sawa.

Idadi ya watu wa dini moja katika vyombo vya kutoa maamulizi sio ajenda ya msingi hapa Tanzania,,,,, agenda ya msingi ni maamuzi yanayofikiwa na vyombo hivyo kwa maslahi ya taifa bila kujali dini, jinsia, ukabila wala rangi.
 
Jamani hii kujadili kila jambo kwa misingi ya udini sio murua kabisa kwa ustawi wa taifa letu. Sio ajabu taasisi kuwa na idadi ya dini fulani kuzidi nyingine kwa muundo wake. Zanzibar takribani 99% ni waislamu na bara labda ni 40% kwa 40%, sasa unategemea wajumbe wakichaguliwa pande zote mbili dini zote hizi ziwe sawa? Kwanza izingatiwe kuwa uwakilishi sio kwa misingi ya dini.
 
Point of information, Chenge sio Harvard Product nasikia alikwenda tu kwenye zile leadership courses kama alizokwenda sumaye na labda fupi zaidi, mwenye uhakika atupatie hapa sema mzee wa kuchakachua akaamua ku ji portray as such, tupeni uhakika wanaoweza ku google haraka haraka.
 
Je CCM siku hizi ni chama cha kidini??? Mbona kuna imbalance kwenye hii kamati zaid ya 70% ya Watanzania ni wakristo lakini kamati hii wakristo ni less than 40%, kulikoni????


wewe ni mpumbavu wa fikra..........nukuu ya mwalimu Nyerere wakati akikemea udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…