Ukioa mwanamke mchakarikaji na mna elewana vizuri mnatoka kirahisi sanaNdo maana mie nashangaa mwanaume unaoa halafu shughuli zako za kusua sua au bado hazijakaa vyema huko kwenye ndoa unaenda kumaliza mtaji wote
Naona Tz vijana wengi chini ya miaka 30 wanaoa halafu ukiangalia vipato vyao ni vya kuungaunga kua na familia haiitaji mtu lelemama ndo maana huko kwenye ndoa zenu kelele ni mingi mno
Hakikisha uchumi wako upo sawa unaweza kumudu majukumu ya familia ndo OA wengi kimewalamba
Mpaka umpate wanapenda oa watoto wa 2000 aliyemaliza form 4 Sasa atamsaidia ninUkioa mwanamke mchakarikaji na mna elewana vizuri mnatoka kirahisi sana
Wapo wanaojielewa hata wa form 4 , tatizo kwa sisi wanaume tukishajipata kwanza kuja kuoa ina kua ngumu sanaMpaka umpate wanapenda oa watoto wa 2000 aliyemaliza form 4 Sasa atamsaidia nin
Matumizi binafsi ni kula na familia. Na hawez kuziba Tena huo mwanya in the name of majukumu 🙄Inayopelekea biashara ife ni ile hela ya mauzo kuitumia kwa matumizi yako binafsi. Ziba huo mwanya uwe tajiri.
Matumizi binafsi ni kula na familia. Na hawez kuziba Tena huo mwanya in the name of majukumu 🙄
Ukiwa na familia utafuga , utalima mchicha , utaokota mayai bandani , ukiwa na familia ni rahisi sana kutoboa kimaisha , najipima binafsi kipindi nikiwa na mke na sasa🤔Mfano mauzo ni 20,000 kwa siku, labda faida kwenye hayo mauzo ni 3000; Badala aagize mchicha wa 500 apike ale, ataagiza maini kilo ya 14,000 ili kufurahisha mwili. Hapo lazima biashara ife.
Ni mwendo wa kuchapiwa tu hakuna namnaNaona Tz vijana wengi chini ya miaka 30 wanaoa halafu ukiangalia vipato vyao ni vya kuungaunga kua na familia haiitaji mtu lelemama ndo maana huko kwenye ndoa zenu kelele ni mingi mno
Hakikisha uchumi wako upo sawa unaweza kumudu majukumu ya familia ndo OA wengi kimewalamba
Hio kufuga na kulima kuna Itaji mtaji hayo mambo unayaanza kabla hujaoa ukishaoa yanakuwa magumuUkiwa na familia utafuga , utalima mchicha , utaokota mayai bandani , ukiwa na familia ni rahisi sana kutoboa kimaisha , najipima binafsi kipindi nikiwa na mke na sasa🤔
Cha mwisho hujasema ikotokea umechapiwa baada ya kuishiwa vibunda usitangaze na usinune chukulia km ndio hali ya maisha waliokuzidi wamekuzidi tu hakuna namnaWengi wetu hatuna financial education hata ya msingi Tu, ili utoboe kuna maamuzi magumu Sana inabidi uyachukue, nidhamu ya fedha ni Jambo la msingi Sana hasa ukiwa Huna majukumu makubwa na hata ukiwa nayo pia, sasa ukiwa na familia halafu ndo unaanza biashara na unategemea biashara Kwa Kila kitu basi mtaishi kawa wachawi ww na familia yako, usipokuwa makini unafunga biashara, unapotaka kuingia kwenye biashara rasmi lazima uwe na back up plan, hakikisha Una pesa ya pango ya mwaka mzima (ofisini na nyumbani), hakikisha mazingira ya chakula umeyaweka vizuri, hakikisha Una pesa ya dharura angalau miezi sita na cha mwisho hakikisha Una sehemu salama ya kupeleka familia pindi Tu mambo yakiwa vibaya.
Jitahidi uzungumze kitu kimoja. Unazungumzia biashara au kujiajiriHili suala la kujiajiri linahitaji mtu ambaye biashara siyo sehemu anayotegea kula humo hapo atatoboa.
Business entity principleMatumizi binafsi ni kula na familia. Na hawez kuziba Tena huo mwanya in the name of majukumu 🙄