R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jul 20, 2024 Thread starter #21 Akilindogosana said: Hizo kampeni ni danganya toto. Ila kiufupi, wataiba kura tu. Click to expand... Time hii hawatofanikiwa, Kama huamini, Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
Akilindogosana said: Hizo kampeni ni danganya toto. Ila kiufupi, wataiba kura tu. Click to expand... Time hii hawatofanikiwa, Kama huamini, Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Jul 20, 2024 #22 Mama hauziki , ni PR na sideshows kila mahali.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Jul 20, 2024 #23 Ana pima kina cha maji
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jul 20, 2024 Thread starter #24 The Icebreaker said: Umeleta uzi wako kwa njia ya kuuliza swali,ila unaonekana kua tayari unalo jibu lako la swali uliloliuliza hapa. Click to expand... Nisingeuliza swali ikiwa najua jibu, Anyway, ningependa kupata jibu lako Ili nijue niwazavyo ni sahihi au la!!
The Icebreaker said: Umeleta uzi wako kwa njia ya kuuliza swali,ila unaonekana kua tayari unalo jibu lako la swali uliloliuliza hapa. Click to expand... Nisingeuliza swali ikiwa najua jibu, Anyway, ningependa kupata jibu lako Ili nijue niwazavyo ni sahihi au la!!
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Jul 20, 2024 #25 TAYARI...
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Jul 20, 2024 #26 Rabbon said: Time hii hawatofanikiwa, Kama huamini, Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa. Click to expand... Wataiba kura, watashinda kwa kishindo. Muda utazungumza, labda vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa wizi wa kura.
Rabbon said: Time hii hawatofanikiwa, Kama huamini, Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa. Click to expand... Wataiba kura, watashinda kwa kishindo. Muda utazungumza, labda vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa wizi wa kura.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jul 20, 2024 Thread starter #27 The mission 2017 said: Ana pima kina cha maji Click to expand... Huwezi tumia kijiti kupima kina Cha maji Ziwa Tanganyika ukafanikiwa!!
The mission 2017 said: Ana pima kina cha maji Click to expand... Huwezi tumia kijiti kupima kina Cha maji Ziwa Tanganyika ukafanikiwa!!
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jul 20, 2024 Thread starter #28 Earthmover said: TAYARI... Click to expand... Tayari nn!!