Pre GE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

Pre GE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo kampeni ni danganya toto. Ila kiufupi, wataiba kura tu.
Time hii hawatofanikiwa,

Kama huamini,

Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
 
Umeleta uzi wako kwa njia ya kuuliza swali,ila unaonekana kua tayari unalo jibu lako la swali uliloliuliza hapa.
Nisingeuliza swali ikiwa najua jibu,

Anyway, ningependa kupata jibu lako Ili nijue niwazavyo ni sahihi au la!!
 
Time hii hawatofanikiwa,

Kama huamini,

Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
Wataiba kura, watashinda kwa kishindo. Muda utazungumza, labda vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa wizi wa kura.
 
Back
Top Bottom