- Thread starter
- #21
Time hii hawatofanikiwa,Hizo kampeni ni danganya toto. Ila kiufupi, wataiba kura tu.
Kama huamini,
Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time hii hawatofanikiwa,Hizo kampeni ni danganya toto. Ila kiufupi, wataiba kura tu.
Nisingeuliza swali ikiwa najua jibu,Umeleta uzi wako kwa njia ya kuuliza swali,ila unaonekana kua tayari unalo jibu lako la swali uliloliuliza hapa.
Wataiba kura, watashinda kwa kishindo. Muda utazungumza, labda vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa wizi wa kura.Time hii hawatofanikiwa,
Kama huamini,
Nenda wewe ukachukue fomu muda ukifika, gombea Kwa HAKI Kisha uone kama Kuna kura itaibwa.
Huwezi tumia kijiti kupima kina Cha maji Ziwa Tanganyika ukafanikiwa!!Ana pima kina cha maji
Tayari nn!!TAYARI...