Salaam, shalom!!
Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI walivyovikalia.
Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote kupata mgombea Kwa nafasi yoyote kuanzia Udiwani, ubunge na Urais!!
Swali: Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya KUKUBALIKA au KUTOKUKUBALIKA?
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏