Pre GE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

Pre GE2025 Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI walivyovikalia.

Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote kupata mgombea Kwa nafasi yoyote kuanzia Udiwani, ubunge na Urais!!

Swali: Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya KUKUBALIKA au KUTOKUKUBALIKA?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Binaadam bwana yaan akienda nje ya nchi wanasema anazurura shda za wananchi atazijua vipi?
Akiamua kwenda kwa wananchi wanasema ameanza kampeni mapema loh!
Kumbe kununua pikipiki nchi nzima Kisha uweke sura Yako ni kuwaendea wananchi 🤔
 
Mama anajua kuwa hapendwi hata chembe. Muache aendelee kutapatapa tu.

Dakika za mwishooooni kabisa tutamwinua Ndugai (mzee wa kuinusuru nchi isipigwe mnada), atampiga kumbo kiulaini kabisa.
Unamsagia kunguni mzee wa watu. ??😳😅🤠
 
Hata mkimpa tena next yr, mjue tu hakuna kitu, yaani hapo tutakuwa na 5yrs ya autopilot.
 
Sasa vyama havijapitisha mchakato wa wagombea ngazi mbalimbali, ukianza compaign tena za wazi, huoni kuwa huko ni kuvurugwa?
Bc ambao tayar wamepata wagombea wao waacheni waendelee na kampeni
 
Salaam, shalom!!

Kwa mara ya kwanza, Kuna kiongozi yupo madarakani, KAZI aliyopewa kuikamilisha, Bado hajaimaliza,lakini ghafula amegeuka na kuanza kujitangaza Kwa nafasi ya KITI alichokikalia.

Hadi sasa, vyama vyote vya upinzani na chama tawala havijafanya mchakato wowote kupata mgombea Kwa nafasi yoyote kuanzia Udiwani, ubunge na Urais!!

Swali: Kuanza compaign mapema, ni Ishara ya kukubalika au kutokukubalika?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hahahahahaha hili tumuachie Lucas Mwashambwa chawa Mwandamizi
 
"Listen to your gut when in uncertainties" Tuliojifunza Ethics hii ni sentence common sana!

Huyu mama ile gut yake inamwambia kabisa "you can't make it next term" anapambana na hii sauti ndio maana anatumia nguvu nyingi sana hata kabla ya filimbi kulia!!
 
Umeleta uzi wako kwa njia ya kuuliza swali,ila unaonekana kua tayari unalo jibu lako la swali uliloliuliza hapa.
 
Back
Top Bottom