mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
mm❌ mimi✅Subiri kwanza mkuu, em kunywa maji mengi na uhakikishe ni masafi na salama upunguze kisirani halafu urudi kusoma mada inataka nini na mm nimeandika nn.
Em subiri kwanza mkuu, kwan Umeelewa au hujaelewa?mm❌ mimi✅
nn❌ nini✅
baba wa familia wewe, kaza
Una lipi la kumwambia anayeunga mkono kampeni ya #KataaNdoa?Same to me
Mwezi Aprili mwaka huu nilifukuzwa kazi baada ya kupishana kauli na boss.
Imagine nafukuzwa kazi nikiwa na mwanamke ndani na mtoto anakaribia miaka miwili.
Mwezi May mwanzoni nikatia 500k kwenye biashara flan ila nayo ikafa ht mwezi May haujaisha.
Kuna muda mpaka nikatamani kurudi home ila mwanamke wangu alikuwa akinitia moyo na kunifariji hakuna kurudi nyumbani, kaa hapa hapa tutakunywa hata maji.
Sasa hv mwanamke wangu ndie anayeniweka mjini pamoja na hiyo pesa yake kdg anayoipata ila kwa shida shida tunajitahidi kutoboa nayo.
Huo mwaka 2020 ulituvuruga wengi sana... kati ya mwaka ambao nilikua na madeni mengi ni huo, hadi nikarudisha mpira kwa kipa... natamani niandike gazeti kuelezea ila wacha nilinde ID yangu maana wana kibao wako humu.Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji.
Likaja wazo la ushauri mbalimbali la kuikopea biashara ili ikue, Benki zetu hazina hiyana nyie kukupa Ile mikopo yao, huku na huku Corona ikaja, nani akanunue nguo avae aache kusevu pesa kwa ajili ya chakula, biashara ikabuma, pesa ya pango ikagoma, malipo ya TRA hayapo, ushuru hulipi, posho ya msaidizi hakuna, bills zote hazilipiki na bado una rejesho Benki.
Huu mwaka wala haukuondoka hivyo, likatokea sekeseke nikaikosa ajira nikajionea wala isiwe shida kuwa tu na Jina mjini kwamba namiliki duka lisilonipa chochote, nikaamua kubeba virago vyangu na kurudisha mlango wa watu. Sikuishia hapo tu, baada ya mambo kuwa magumu zaidi ilibidi nijiambie kwa dhati kabisa kwamba kuanza moja si ujinga, nikashuka chini nikatafakari, nikakubali matokeo ya mabadiliko ya Maisha na nikakubali fedheha zote, kejeli, masimango na vicheko ili tu nijitafute nijipate.
Hadi sasa bado najitafuta, na ninakutia moyo usijichoke, endelea kujitafuta na ikibidi kuanza moja Anza tu maana kupotea njia ndio kujua njia
Afanye analoona n sawaUna lipi la kumwambia anayeunga mkono kampeni ya #KataaNdoa?
Ulibet nini😹Mwezi May mwanzoni nikatia 500k kwenye biashara flan ila nayo ikafa ht mwezi May haujaisha.
Hapana mkuu 😂Ulibet nini😹
🤨 Ustaarabu ni bure mkuuUmetoa Facebook umeleta huku
Sawa.
Utatoboa tuSame to me