Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Huyu jamaaa kama alikuwa na anaoneshwa kwa darubini vile. Inawezekana yanayotokewa si kwa bahati mbaya bali ni full planed. HONGERA ZAO TISS.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawapongeza kabisa Tiss kwa kutuletea balaa hili tulilonalo ,hebu tuonea huruma watanzania wenzio Tiss walipaswa kuzuia mtu asiyefaa kuwa mkuu wa nchi ona sasa aibu kuanzia ndani mpaka nnje ya nchi .mtu aliyepewa nchi hana uwezo huo Tiss ni wa kulaumiwa sana .Ila Uzi unaishi .
 
Hivi huyu jamaa bado yupo? Kama bado yupo apate balimi baridi sehemu yeyote nitalipa kwa "keshi"
 
hii thread ya kinabii,kweli leo baadh ya mambo uliyoyaainisha yapo
 
Hapo ndio utaamini watu hupandikizwa na mipango husukwa kwa miaka mingi
Wengine tangu wanapozaliwa huandaliwa na kusomeshwa na kuwa wakuu wa nchi
Kumbe na sisi hatujambo na tuko vizuri
Au kwenye list huyo wa mwisho ndio mleta mada?
Hapana acha nijijibu tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…