Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

MAGAMBA MATATU ni kama alikua na chembechembe za unabii hivii!! Kaandika kabla hata ya uchaguzi...na mengi (kulingana na mtizamo wa mtu binafsi) yametokea na yanatokea...Sijui yuko wapi mana last seen ni ya mda mrefu sana!!
Alikula bapa ya panga mapema tuu....imebak story
 
We jamaa unastahili kutambuliwa na Guiness Book of Records kwa utabiri huu uliotimia kwa 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…