MKUU uliona mbali sana and here we are now4. Suala zima la ushawishi wa dini, endapo ataegemea dini moja basi atajikuta yupo kwenye wakati mgumu kwani atajikuta amegeuka gafla na kuwa adui wa dini nyingine hivyo kujikuta akichukua maamuzi ya kibabe ili kukabiliana na upinzani kutoka dini fulani. Suala kujiunga na dini ya mashetani au "FREEMASONS" litakuwa jambo la kawaida na watu wengi wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.
Hapo si umezuga tu Mjomba, watu wa kitengo ukiwa nao maskani story zao hukandia Serikali ili ukijiunga nao kukandia wakudake mbeleni, tunawajua nyinyi. Ungekua sio kitengo usingechomoka Dodoma kwa Bw. Nduu kiulaini namna ile.
Atuambie what will happen from 2020 onwardsMtabiri , yametia. Wapi mtabiri tupe siri ya mafanikio yako
kati ya viongozi uliowataja hapo juu sioni hata mmoja anafaa kushika nchi 2015...embu pendekeza majina mengine lasivyo kura yangu itaharibika
Ni kweli kuwa watanzania wanategemea sura moja wapo kati ya hizo lakini hakuna sura ya udikteta hapo wote hao ni watu wa democracia kwa wingi.
Ila tukitaka tuendelee nakubaliana na wewe kuwa udikteta wafaa.ila uwe ule wakuleta maendeleo
[emoji16]na Leo ni 2019saint ivunga
2012 Leo 2018
System ya JF huwezi kuedit wala kufuta Uzi [emoji16]mi mwenyewe nilishindwa!Aliandika 2012 kweli au ameedit juzi?
Habari za siku [emoji1]Bora aje huyo dikteta kuliko kuwa na democrat ambaye ni mzururaji na mbabaishaji (unconcerned).
Last seen Wednesday at 11:13 PMmodes wamfuatilie huyu jamaa kam bado yupo
Afungue macho kwa sururu maana yupo OPNow u can see,mkuu!
Ndo think tank ya jiweHuyu jamaa siyo mtu wa kawaida kuna umalaika ndani yake siyo hivi hivi.
[emoji16][emoji16][emoji16] hapa sitii neno mkuu siyo kwangu huku niwaache wenye 100 IQ plus.Zero IQ nakuona unapita kimya kimya huku ukigonga likes kama kawaida yako,vipi unazungumziaje kuhusu huu utabiri wa ndg MAGAMBA MATATU na juu ya ukimya wake hapa jukwaani.
Tupe mtazamo wako tafadhali.
Smart guy