Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila.kwahiyo 2025 mmepanga aje nani?
Namungo Fc ndio ajae hukokwahiyo 2025 mmepanga aje nani?
😂😂🤣🤣😂😂Namungo Fc ndio ajae huko
Kwenye hiyo orodha ukimtoa Bernard &Lowassa waliobaki wote Enzi hizo walikua vyema Sana!!Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa:
"Tanzania itatawaliwa kidikteta"Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota.
1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa Rais ajaye ataingia madarakani kwa utata nikimaanisha kutakuwa na mizengwe katika utoaji wa matokeo kwani hali halisi inajionesha wazi kuwa kuna mvutano mkubwa wa vyama viwili na hakuna kinachokubali kuwa kimeshindwa ki-haki.Endapo mgombea wa chama tawala akashinda basi chama kikuu cha upinzani kitatumia nguvu ya umma ili kupata sapoti wakati aliyejiona kashinda kwa haki atakimbilia ikulu na kushawishi dola kulinda ushindi wake kadri wawezavyo.Tukumbuke yaliyozikumba nchi za :LIBYA, IVORY COAST, LIBERIA, NIGERIA, ZIMBABWE, KENYA, VISIWA VYA COMORO, MISRI na TUNISIA.
2. Pili ni ahadi atakazozitoa hususani zile za kushughulikia "MAFISADI". Ili kupambana na aliyekuzidi kifedha lazima uchukue fedha zake kwa nguvu hivyo atataifisha mali za waliosemekana ni wahujumu uchumi au mafisadi. Akiwa yupo kwenye hali hiyo lazima watamwinda hivyo itamgharimu kuwa dikteta katika kupambana na mafisadi ikiwa ni pamoja na kunyonga baadhi yao ili kuweka fundisho. Pia atajikuta analipa kisasi cha mateso yote yaliyompata katika harakati za kuingia ikulu.
3.Suala zima la maendeleo haliendani na kuwapa watu uhuru wa kukaa mijini na kuendeleza masuala kama ya kupiga debe, kutembeza vitu mijini, kuuza na kula madawa ya kulevya, polisi wa barabarani kupokea rushwa, maafisa wa TRA kusamehe kodi na kutoa vibali kwa njia za panya, viongozi wa serikali kutumia ofisi zao kama kampuni zao! Yote haya yatasababisha rais ajaye awe dikteta na mkatili kwa wazembe wote wanaokwamisha matarajio yake, ikiwa ni pamoja na kuwafurutisha vijana wote mijini na kuwafukuza kazi wazembe wote.
4. Suala zima la ushawishi wa dini, endapo ataegemea dini moja basi atajikuta yupo kwenye wakati mgumu kwani atajikuta amegeuka gafla na kuwa adui wa dini nyingine hivyo kujikuta akichukua maamuzi ya kibabe ili kukabiliana na upinzani kutoka dini fulani. Suala kujiunga na dini ya mashetani au "FREEMASONS" litakuwa jambo la kawaida na watu wengi wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.
5.Ushawishi wa nchi za magharibi; hili nalo ni tatizo ambalo nitafanya nchi isitawalike endapo Rais ajae ataamua kufuata matwakwa ya raia wake kwenye masuala la uwekezaji, ajira, ugawaji wa ardhi, kodi, na utaifishaji wa mali za umma kama viwanda, mashamba makubwa, n.k.na endapo atawageuka wananchi na kusikiliza matakwa ya nchi za magharibi basi atajikuta amepitisha sera ya ndoa za jinsia moja, biashara haramu ya siaha, urutubishaji wa nyuklia. Hali hii itapelekea wanachi waanze kumchukia na atajikuta anatumia nguvu za dola kulazimisha wananchi wakubali sera zake.
Pia kuna mambo mengine kama kuibuka vyama vya siasa vyenye nguvu vinavyotaka kumtoa madarakani kwa nguvu na atajikuta akiwasweka rumande wapinzani wengi ambapo itachafua hali ya hewa ya nchi. Pia utata wa mgawanyiko wa wabunge maana kuna kila dalili vyama viwili vyenye ushindani kugawana sehemu kubwa ya idadi ya wabunge na hivyo kumlazimisha Rais kuwa na wakati mgumu wa kuvunja bunge zaidi ya mara moja kwenye kipindi cha miaka mitano.
Pia suala la ajira litaendelea kutesa nchi na ongezeko la wasomi itakuwa pia tatizo hivyo itamlazimu kutumia sheria kali na za kibabe ili kuendesha utawala wake.
Vyombo mbalimbali vitanyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao hii itapelekea vyombo vya habari vya magharibi kumuulika nchi na hivyo hali kuwa mbaya zaidi.
Swali la kujiuliza, Rais ajaye atakuwa nani ?
Ni vigumu kupata jibu la moja kwa moja ingawa watu wengi wanatazamia kuona sura mojawapo kati ya hizi:
- Zito Kabwe,
.
- Dr. Willbrod Slaa,
- Dr. Asha Rose Migiro,
- Edward Lowassa.
- Samwel Sitta
- Prof. Ibrahim Lipumba.
- Bernad Membe, na
- John Pombe Magufuli
Kwanini Watanzania wengi wanategemea kati ya watu hawa mmoja wapo atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015?
Jibu kubwa na la msingi ni suala zima la uwajibikaji na kujituma.
Kwanini nasema hivyo?
Ukiangalia sura zote ni watu wachapa kazi, wanajituma na wenye maamuzi magumu kwa masuala nyeti ya nchi. Ingawa kila mmoja ana mapungufu yake lakini ukweli bado unabaki pale pale wanauwezo mkubwa wa kulifikisha taifa pale Watanzania wanapotaka ikiwa watatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Bado suala la wapinzani kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja litakuwa ni ndoto. Kwanza utofauti wa sera na mawazo yao vinakinzana. Pia kuna suala zima la itikadi ya chama na mitazamo. Wapinzani wamejifunza mengi kutoka kwa jirani zao Kenya. Hivyo hawapo tayari kuungana na kuanza kung'ang'aniana madaraka ni bora kila mmoja ashiriki kwa nguvu zake na ashinde kwa nguvu zake.
Hakuna siku mmewahi imebiwa kura zaidi ya kulalamikia tume kisha mnashiriki tena uchaguzi kwa tume ile ile.Magufuli aliwasikiliza wananchi, na wananchi walimkubali, cha ajabu ilibidi apore uchaguzi ili aendelee kukaa madarakani! Sasa kama unakubalika unanajisi uchaguzi ili iweje.
Huyu mkuu alikua mbele ya mda sana , Mungu amwongezee neemaKwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa:

Huujui udikteta kaa kimya kula bata uwezavyo.kama umeiona awamu ya tano ndio ya kidikteta rudi shule kasome uelewe vzr then njoo utuandikie tena, CCM ndio hii bado inatuongoza.Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa:

Kuibiwa kura sio jambo linalohitaji ww ukiri, hilo liko wazi. Hao wanaondelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi hiyo ni haki yao. Lakini hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki hizi chaguzi za kihayawani kwa mazingira haya. Kama huamini subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyoshuka.Hakuna siku mmewahi imebiwa kura zaidi ya kulalamikia tume kisha mnashiriki tena uchaguzi kwa tume ile ile.
Na kubaliana na wewe kuwa wapiga kura wanaweza kushuka lakini sio kwa sababu ya upinzani bali sababu zipo nyingi.Kuibiwa kura sio jambo linalohitaji ww ukiri, hilo liko wazi. Hao wanaondelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi hiyo ni haki yao. Lakini hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki hizi chaguzi za kihayawani kwa mazingira haya. Kama huamini subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyoshuka.
Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili tupate mabadiliko ya kweli, na hapo ndio box la kura litaheshimiwa.
Nusu ya hao ni wapiga kura wa upinzani. Kuanzia uchaguzi wa 2010 na 2015 walipanda sana, na wengi walikuwa wa upinzani. Alipoingia Magufuli akataka kulazimisha kila mtu aikubali ccm, tokea pale wapiga kura hasa wa upinzani wakapuuza uchaguzi.Na kubaliana na wewe kuwa wapiga kura wanaweza kushuka lakini sio kwa sababu ya upinzani bali sababu zipo nyingi.
Umeandika mambo mengi sijaona ukimtaja Lowasa na hiyo ndiyo tabia yenu ninyi wafia vyama haijalishi mpo chama gani, muwe unaheshimu mchango wa watu. Uchaguzi wa 2015 ni dhahiri ulikuwa ni wa watu wawili wenye ushawishi na wala haukuwa na ushindani wa kivyama. JMP alivutia wapiga kura kutokana na record yake ya utendaji, Lowasa alivutia wapiga kura kutokana na umaarufu wake so usileta fact za uongo humu kuwa Chadema au ccm ilivutia wapiga kura. Wapiga kura wanavutiwa na aina ya wagombea na sio vyama vya siasa japo navyo vina nafasi yake kiasi fulani.Nusu ya hao ni wapiga kura wa upinzani. Kuanzia uchaguzi wa 2010 na 2015 walipanda sana, na wengi walikuwa wa upinzani. Alipoingia Magufuli akataka kulazimisha kila mtu aikubali ccm, tokea pale wapiga kura hasa wa upinzani wakapuuza uchaguzi.
Kwa bahati mbaya hata ccm haina wapiga kura wengi, bali wapiga kura wengi huhamasika na uwepo wa wapinzani. Alichokifanya Magufuli cha kunajisi chaguzi waziwazi, kumechangia sana wapiga kura wanaojitambua kupuuza kushiriki chaguzi zetu. Ni kweli kuna sababu nyingine, lakini sababu hasa ni ushenzi uliofanyika chini ya utawala wa Magufuli, na watu hawatarejea tena, hadi kufanyike mabadiliko ya kweli ya tume ya uchaguzi, na kupatikana katiba mpya. Ufahamu kizazi kimebadilika hiki. Sioni mabadiliko ya kweli bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.