Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Katibu Mkuu mstaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks, sheria ya name calling ni kwa jf members only, kwa vile Katto sio jf member hivyo ni poa tuu kumtajataja hata kila siku, kitu ambacho hakitakiwi kutajwa ni asili yake halisi, na status yake ya sasa.Samahani, ila Katto naye si wa kutaja taja
Katika ishu ambayo hataki ni jina la kato kujulikana,Thanks, sheria ya name calling ni kwa jf members only, kwa vile Katto sio jf member hivyo ni poa tuu kumtajataja hata kila siku, kitu ambacho hakitakiwi kutajwa ni asili yake halisi, na status yake ya sasa.
P
HatujuiKumbe Joseph Mauzi alikuwa humu?
Kumbe haya mambo yanapangwa na sanduku la kura linakuwa mfano tu!
Je "Hutaki Unaacha" ni mzungu wa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na wasiwasi, so far wanaomjua Katto humu jf ni mimi tu na wewe, na kitu kizuri ni Katto mwenyewe hajui kuwa kuna watu wanamjua, hivyo rest assured it's ok.Katika ishu ambayo hataki ni jina la kato kujulikana,
Siku zote nikifikiri ndiye yule Pasco wa JF zama zile!Mkuu Massa, tabia ya kutaka kujua kila kitu sio tabia ya kike, hii inaitwa inquisitive, ni element muhimu kwa researchers, investigators, good lawyers na waandishi wa habari wa habari wa investigative journalism.
Tabia za kike ni kufuatilia maisha ya watu ili kutafuta umbea kwa ajili ya kuusambaza.
Kitendo cha kufananisha jina lolote la jf na mtu yoyote halisi ni kosa kubwa la kustahili ban, kwa sababu huku ni kumu expose mtu, which is not good at all kwa sababu kiukweli kabisa miongoni mwa wana jf, tuna jamaa kibao wa sehemu humu, mfano itokee umelijua jina halisi la Hutaki Unaacha, halafu ukamtaja, jee unajua ni nini kitakachompata?.
P
CC. britanicca
Huu ni zaidi ya Utabiri, popote ulipo mtoa mada mungu akuzidishie.wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.
Yaani kila kipengele unacho soma ni kweli tunatamanii wakati uludi nyumaShikamoo mtoa mada, yametimia
Hahaha kabisa na unajua kule Bukoba kato ni jina la mtu Pacha, lakin ikitokea mtu akaitwa kato wakati si pacha maana yake ni kwamba amekuwa adopted kwenye familia au amezaliwa kwa kuanza miguu,Usiwe na wasiwasi, so far wanaomjua Katto humu jf ni mimi tu na wewe, na kitu kizuri ni Katto mwenyewe hajui kuwa kuna watu wanamjua, hivyo rest assured it's ok.
P
No Hutaki Unaacha ni mtu wa jikoni, kule kule kunako, Pasco wa JF ni lumpenproletariat mmoja mganga njaa fulani, anayegangia njaa kwenye ukanjanja wa habari.Siku zote nikifikiri ndiye yule Pasco wa JF zama zile!
Lakin hata wewe upo karibu na jiko jengo lile jeupe mithiri ya meli, ambako mtu akitaka kukuona lazima aje siku za kawaida isipokuwa ijumaa maana akijichanganya watamuona jumatatu,No Hutaki Unaacha ni mtu wa jikoni, kule kule kunako, Pasco wa JF ni lumpenproletariat mmoja mganga njaa fulani, anayegangia njaa kwenye ukanjanja wa habari.
P
Yaelekea alisha potezwa maana haonekani humu!!Aiseeee huyu mkuu baada ya hapa alipotea mazima,hebu fukueni Uzi nyingine zinazomhusu za hivi Karibuni zaidi ya hapo atakuwa ni Wa kitengo au sponsor Wa Freemason asituzingue
Nje ya mada kidogo.Mkuu Britannica, jina la mleta mada hiyo ni Magamba Matatu, jina la Mzee Joseph Mauzi
Umelipata wapi?.
Vipi umesahau mambo ya name calling.
P
Sasa hapa ndio unataka kuharibu, mimi mwenzio ni investigative journalist, hivyo uliponitajia tuu Katto, nineishafanya homework yangu vizuri, usizungumzie kabisa mambo ya jina Katto na adoption, ni top secret, maadam ni mimi na wewe tuu tunayemjua Katto, tuwe tunataja tuu Katto, not a word more, not word less.Hahaha kabisa na unajua kule Bukoba kato ni jina la mtu Pacha, lakin ikitokea mtu akaitwa kato wakati si pacha maana yake ni kwamba amekuwa adopted kwenye familia au amezaliwa kwa kuanza miguu,