Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Thanks, sheria ya name calling ni kwa jf members only, kwa vile Katto sio jf member hivyo ni poa tuu kumtajataja hata kila siku, kitu ambacho hakitakiwi kutajwa ni asili yake halisi, na status yake ya sasa.
P
Katika ishu ambayo hataki ni jina la kato kujulikana,
 
Mkuu Massa, tabia ya kutaka kujua kila kitu sio tabia ya kike, hii inaitwa inquisitive, ni element muhimu kwa researchers, investigators, good lawyers na waandishi wa habari wa habari wa investigative journalism.

Tabia za kike ni kufuatilia maisha ya watu ili kutafuta umbea kwa ajili ya kuusambaza.

Kitendo cha kufananisha jina lolote la jf na mtu yoyote halisi ni kosa kubwa la kustahili ban, kwa sababu huku ni kumu expose mtu, which is not good at all kwa sababu kiukweli kabisa miongoni mwa wana jf, tuna jamaa kibao wa sehemu humu, mfano itokee umelijua jina halisi la Hutaki Unaacha, halafu ukamtaja, jee unajua ni nini kitakachompata?.

P
CC. britanicca
Siku zote nikifikiri ndiye yule Pasco wa JF zama zile!
 
Usiwe na wasiwasi, so far wanaomjua Katto humu jf ni mimi tu na wewe, na kitu kizuri ni Katto mwenyewe hajui kuwa kuna watu wanamjua, hivyo rest assured it's ok.

P
Hahaha kabisa na unajua kule Bukoba kato ni jina la mtu Pacha, lakin ikitokea mtu akaitwa kato wakati si pacha maana yake ni kwamba amekuwa adopted kwenye familia au amezaliwa kwa kuanza miguu,
 
Sioni hata kosa la Mleta uzi, mnapaniki bure tu.

Kinachofanyika hapa ni kukisia tu, angeweza kumtaja yeyote yule.

Na imeshafanyika hivyo mara kadhaa wala hii si ya kwanza.

Walioshika mpini ni kina Max, sisi wengine kila mmoja aicheze ngoma yake mpaka ipasuke.
 
No Hutaki Unaacha ni mtu wa jikoni, kule kule kunako, Pasco wa JF ni lumpenproletariat mmoja mganga njaa fulani, anayegangia njaa kwenye ukanjanja wa habari.
P
Lakin hata wewe upo karibu na jiko jengo lile jeupe mithiri ya meli, ambako mtu akitaka kukuona lazima aje siku za kawaida isipokuwa ijumaa maana akijichanganya watamuona jumatatu,
Alafu majina mnaitana chief, simu haziruhusiwi
 
Mkuu Britannica, jina la mleta mada hiyo ni Magamba Matatu, jina la Mzee Joseph Mauzi

Umelipata wapi?.
Vipi umesahau mambo ya name calling.
P
Nje ya mada kidogo.
Nadhani 'name calling' tunaitumia visivyo. By definition, name calling means abusive language or insults, na siyo 'kutajana majina' kunakozuiwa na JF rules.
Nikisema Paschal called me names, maana yake ni kuwa Paschal alinitukana.
 
Hahaha kabisa na unajua kule Bukoba kato ni jina la mtu Pacha, lakin ikitokea mtu akaitwa kato wakati si pacha maana yake ni kwamba amekuwa adopted kwenye familia au amezaliwa kwa kuanza miguu,
Sasa hapa ndio unataka kuharibu, mimi mwenzio ni investigative journalist, hivyo uliponitajia tuu Katto, nineishafanya homework yangu vizuri, usizungumzie kabisa mambo ya jina Katto na adoption, ni top secret, maadam ni mimi na wewe tuu tunayemjua Katto, tuwe tunataja tuu Katto, not a word more, not word less.
P
 
Back
Top Bottom