Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kabisa mkuu! Kuna watu wanafikiri Magufuli anafanya yeye kama yeye!Ila huu uzi, umenifanya niwe na amani
Nchi yetu ipo salama, Watu walio nyuma ya pazia ni watu makini sana wanajua kucheza karata zao vizuri
Ndio maana huwa nawashangaa sana chadema wanapodili na Magufuli badala ya mfumo.
Yani unaweza kukuta chadema anamshabikia Membe kwamba bora amtoe Magufuli madarakani bila kujua wote wale ni ccm na yeyote anakuwa rais lazima aongize kwa matakwa ya mfumo.