Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Ila huu uzi, umenifanya niwe na amani

Nchi yetu ipo salama, Watu walio nyuma ya pazia ni watu makini sana wanajua kucheza karata zao vizuri
Kabisa mkuu! Kuna watu wanafikiri Magufuli anafanya yeye kama yeye!

Ndio maana huwa nawashangaa sana chadema wanapodili na Magufuli badala ya mfumo.

Yani unaweza kukuta chadema anamshabikia Membe kwamba bora amtoe Magufuli madarakani bila kujua wote wale ni ccm na yeyote anakuwa rais lazima aongize kwa matakwa ya mfumo.
 
Kucheza karata kwa kuhujumu na kuporomosha na kuudidimiza uchumi kwa maksud ?
 
Huu uzi umenifanya niamini kwamba asilimia kubwa ya watu huwa wanaropoka bila kujua wanachokiandika wakipinga asilimia chache ya watu wanaojua wanacho kiandika.
 
Kabisa mkuu! Kuna watu wanafikiri Magufuli anafanya yeye kama yeye!

Ndio maana huwa nawashangaa sana chadema wanapodili na Magufuli badala ya mfumo.

Yani unaweza kukuta chadema anamshabikia Membe kwamba bora amtoe Magufuli madarakani bila kujua wote wale ni ccm na yeyote anakuwa rais lazima aongize kwa matakwa ya mfumo.
Mifumo yote inalenga uchumi.

Kete yao ilikua ni kudili na Lowasa na kuhakikisha hakanyagi ikulu.
Na walifanikiwa wakamkata na akapotea Kabisa kwenye ramani ya Siasa.
Walitumia kelele hizi hizi za wapinzani.

Na hizi hizi ndizo zinazotumika sio kuiangsha CCM Bali kumpata mtu sasahihi kwa nchi na Chama pia. Huku akilinda heshima ya waliotangulia mana walifanya kazi kubwa kuifanya nchi kuwa moja.

Suala kubwa litakalompunguzia Mkubwa kura za wajumbe ndani ya Chama ni Uchumi na Diplomasia ya nchi na Taifa kuonyesha wazi kuna mpasuko unaotishia umoja wetu ndani na nje ya Chama.
 
Kabisa mkuu! Kuna watu wanafikiri Magufuli anafanya yeye kama yeye!

Ndio maana huwa nawashangaa sana chadema wanapodili na Magufuli badala ya mfumo.

Yani unaweza kukuta chadema anamshabikia Membe kwamba bora amtoe Magufuli madarakani bila kujua wote wale ni ccm na yeyote anakuwa rais lazima aongize kwa matakwa ya mfumo.
Kabisa mkuu Yaani ni kushabikia Barrick kumuangusha Acacia hapa Tanzania na wakati lao ni moja
 
Last Seen, Sept 2017, Ukirudi sema kidogo kuhusu 2020

1105650
 
Huyu jamaa aliona mbali sana. Hivi yule kiona mbali wa kwenye gazeti aliishia wapi? Heko Bwana Magamba Matatu maana utabiri wako umetimia
 
Back
Top Bottom