Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Wana JF, MAGAMBA MATATU si mwengine bali ni mmoja katika waliomdhamini MAGUFULI aingie Madarakani,hii ni mipango madhubuti iliyokuwa imepengwa, kwa atakae kuja kututawala kwa Upande wa CCM

Haya yaliyoandikwa katika huu uzi sio kama yamendikwa kwa bahati mbaya au ramli,yameandikwa kwa Makusudi, kwa lengo la kupima msimamo na maoni ya wanachapa wa JF..

Huu uzi umekuwa disigned kuangalia upepo na msimamo wa Watanzania kwa muda wote wa awamu ya 5,

Mission accomplIshed, MAGAMBA MATATU, ameingia mitini, amebadilisha ID yuko pembeni anawachora wana JF,..

Siasa ni mchezo mchafu, wana JF mnatakiwa kutoa maoni yenu, kwa hayo yaliyoandikwa na huyu jamaa anayejiita MAGAMBA MATATU, sio kusifu utabiri wake..
 
Huo ulikuwa sio utabiri bali ni mpango mzima ulioandaliwa baada ya kuona hatuendelea na kubaki maskini kila kukicha
Hii mipango hata MBS alipewa plan hizi na kuwafunga ukoo wake ili pesa zirudi walizojilimbikizia
Mipango husukwa na nchi zote namna ya kuibadilisha iwe kwa mazuri au kwa ubaya na hili mleta mada inawezekana alikuwa katika mmoja wa system
 
Ila mtabiri magamba matatu alisahau kusema mwisho wa huyo dikteta ni nini? Moshi wa mashangazi wa Ruangwa au?
 
Haijalishi lkn aliyotabiri kuhusu Tz yametokea ayajatokea? Jibu unalo.Google Bushiri prophecy on Tz 2015.
Bushiri muhuni tu hana utabiri wowote ila kuna mazombie yanamuamini
 
Wana JF, MAPACHA MATATU si mwengine bali ni mmoja katika waliomdhamini MAGUFULI aingie Madarakani,hii ni mipango madhubuti iliyokuwa imepengwa, kwa atakae kuja kututawala kwa Upande wa CCM

Haya yaliyoandikwa katika huu uzi sio kama yamendikwa kwa bahati mbaya au ramli,yameandikwa kwa Makusudi, kwa lengo la kupima msimamo na maoni ya wanachapa wa JF..

Huu uzi umekuwa disigned kuangalia upepo na msimamo wa Watanzania kwa muda wote wa awamu ya 5,

Mission accomplIshed, MAPACHA MATATU, ameingia mitini, amebadilisha ID yuko pembeni anawachora wana JF,..

Siasa ni mchezo mchafu, wana JF mnatakiwa kutoa maoni yenu, kwa hayo yaliyoandikwa na huyu jamaa anayejiita MAPACHA MATATU, sio kusifu utabiri wake..
Ni Magamba Matatu na siyo Mapacha Matatu! Otherwise umetoa maoni yenye ukweli.
 
Ni Magamba Matatu na siyo Mapacha Matatu! Otherwise umetoa maoni yenye ukweli.
Yap, Nakubaliana na wewe, ni kosa la kawaida..

Baada ya kusoma huu uzi wa huyu anayejiita MAGAMBA MATATU, nilipata mshangao kidogo kwa jinsi alivyotabiri mambo ya awamu hii kabla hata haijulikana Raisi atakuwa nani, chakushangaza zaidi ilikuwa miaka 3 kabla uchaguzi..

Kila siku Najaribu kuwafahamisha Marafiki zangu kuwa haya anayoyafanya Magufuli lazima yamepangwa na hayafanyi peke yake,..

Unakumbuka hotuba ya Magufuli Matajiri wataishi kama Mashetani, shilingi mia tano haitaitwa JERO itaitwa mia tano??

Unakumbuka Kikwete kumbatiza jina la BULLDOZER Magufuli,hayo yote ni sawa na yaliyoandikwa kwenye huu uzi kama utausoma kwa makini..

Hawa jamaa walikuwa wameshapanga vipi watutawale,..
 
Kama unamwamini tapeli kama Bushiri basi wewe uko taabani. Matapeli kama yeye wanafaidika na wasijielewa kama wewe.
Vipi tetemeko halikutokea?,wasiojulikana awapo?,vipi hali ya uchumi je watu namba awaisomi? Mimi si muumini wa manabii nimeangalia alivotabiri 2015.
 
K
Yap, Nakubaliana na wewe, ni kosa la kawaida..

Baada ya kusoma huu uzi wa huyu anayejiita MAGAMBA MATATU, nilipata mshangao kidogo kwa jinsi alivyotabiri mambo ya awamu hii kabla hata haijulikana Raisi atakuwa nani, chakushangaza zaidi ilikuwa miaka 3 kabla uchaguzi..

Kila siku Najaribu kuwafahamisha Marafiki zangu kuwa haya anayoyafanya Magufuli lazima yamepangwa na hayafanyi peke yake,..

Unakumbuka hotuba ya Magufuli Matajiri wataishi kama Mashetani, shilingi mia tano haitaitwa JERO itaitwa mia tano??

Unakumbuka Kikwete kumbatiza jina la BULLDOZER Magufuli,hayo yote ni sawa na yaliyoandikwa kwenye huu uzi kama utausoma kwa makini..

Hawa jamaa walikuwa wameshapanga vipi watutawale,..
Kuwasomesha watu namba,matajiri waishi kimasikini na sera za uchumi wa viwanda mbona ni vitu visivoendana.Sawa na ujamaa na ubepari
 
Vipi tetemeko halikutokea?,wasiojulikana awapo?,vipi hali ya uchumi je watu namba awaisomi? Mimi si muumini wa manabii nimeangalia alivotabiri 2015.
Ni ujinga kusema mtu alisema kesho asubuhi jua litachomoza ni mtabiri. Hivyo hivyo ni ujinga kusema hayo aliyosema kuwa ni utabiri.
 
Ni ujinga kusema mtu alisema kesho asubuhi jua litachomoza ni mtabiri. Hivyo hivyo ni ujinga kusema hayo aliyosema kuwa ni utabiri.
Kwa hio wasiojulikana kumwaga damu za watu,kusomesha namba mlishapanga.Jua ni nature lzm litoke
 
Kwa hio wasiojulikana kumwaga damu za watu,kusomesha namba mlishapanga.Jua ni nature lzm litoke
Watu kuuawa lipo awamu zote. Matajiri ''kusomeshwa namba'' lazima ingetokea kwa sababu kampeni iliahidi kupigana na ufisadi. (Actually mimi sikubali watu wanaposema ''matajiri wamesomeshwa namba'' kwani hakuna mtu aliyedhulumiwa kwa sababu tu ni tajiri. Matajiri waliokumbana na mkono wa sheria walikuwa na makosa yaliyowafanya wakumbane na mkono wa dola.
 
Back
Top Bottom