Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika hapo November 27 Mwaka huu.
Ambapo mpaka sasa imeonyesha CCM ikiendelea kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa sana maeneo mbalimbali Nchini, kunakotokana na kufanya vizuri katika utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na kupeleka miradi mbalimbali ya maendeleo na huduma karibu na walipo wananchi.
Serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana iliyogusa Maisha ya watu na mahitaji yao.ambapo sasa watanzania wana imani na matumaini makubwa sana ya kuinuka kiuchumi.kila mmoja anaiona kesho iliyo njema na yenye matumaini.ndio sababu ushindi wa kishindo upo wazi kabisa kwa CCM
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.