Kuanzia kesho kwenye kesi ya Mbowe tutarajie lolote kumtokea Boniface Jacob mahakamani au nje ya mahakama

Mtoa mada..unauhakika gani kuwa Bon ndyo mtuma MM? Kwanini unamchongea Bon? Mtoa mada ,watu mwangilieni kwa macho Manne huyu!!
Mtoa siri zote ni Sele 0715132277 au 0787132277 mpigie huyo pamoja na mshirika wake kibwana wote ndiyo mabingwa wa fununu na Siri nyingi za viongozi wafanyabiashara wakubwa na wafanyabiashara wakubwa
 
Wakimkamata kwani wengine hawawezi kuandika? Mbona wengine tunapata mpaka audio kabisa zilizorekodiwa kutoka mahakamani?

Dunia ya sasa ni ya teknolojia huwezi kupambana nayo na ukashinda.
Seleman 0715132277 au 0787132277 ndiyo hupiga picha nyingi kwa siri
 
Hii kesi imeionyesha jamii nzima kuwa wanaobambika watu kesi ni viongozi wa juu wa jeshi la polisi.
Mwanzoni tulidhani kuwa tatizo lipo kwa wale wadogo. Kumbe wakubwa wao ndio wanaoelekeza nani abambikiziwe kesi na kwa namna gani na jinsi ya kulindana.
Hili sio jambo zuri hata kidogo kwani jamii inajenga chuki kwa polisi wadogo wakati wakubwa ndio wanaowatuma kubambika watu kesi kwa manufaa ya vyeo vyao ndani ya kujipendekeza CCM wakistaafu wawe wenyeviti wa CCM wa mikoa na Wilaya.

Magaidi wenye silaha wapo CCM kama akina Hamza na yulebunge aliyekutwa na Bunduki zaidi ya 20 akaaambiwa chapa kazi.

Mama Samia akitaka kubadili mtizamo wa jamii dhidi ya jeshi la Polisi inabidi ateue IGP kutoka Jeshi la wananchi mwenye cheo cha kuanzia Meja General kwenda juu. na pia awe na Msaidizi mmoja mwenye nguvu kama alivyo Mnadhimu wa JWTZ. Watakaofuata pawe na Makamishna toka Jeshi la Magereza wawili, JWTZ wawili, Wengine waliobakia wawe Polisi. Hii itavunja mitandao ndani ya Polisi ambayo ipo kimaslahi na inayoshirikiana na wahalifu na wanasiasa wasiowaaminifu kama akina Lugumi na Kashafa nyingine zinazotokana na fadhila za kulindana tangu chini mpaka juu.

IGP akitokea Jeshi la wananchi itawapa wananchi imani kubwa sana ya kushirikiana na Jeshi la polisi katika kutoa taarifa na kuwafichua wahalifu. Kwa sasa watu wameshaona wazi kuwa jeshi hilo halitendi kwa uadilifu na kwa haki bali ubinafsi ndio unaowafanya wafanye kazi bila kufata sheria.
Inaonekana hata maslahi ya Polisi yanaminywa na mitandao ya kimaslahi ndani ya wizara hiyo ya polisi.

IGP akitokea JWTZ itawawezesha pia polisi wenyewe kuondoa mashinikizo ya kufanya kazi kimazoea na kushindana katika kutafuta matajiri wa kutoa pesa kwa ajili ya kada za wakubwa wao. Hali inayotoa mwanya kwa wale wadogo kukimbizana na wamachinga wa magendo mpaka kuingia nchi nyingine kinyume cha sheria kwa lengo la kujitafutia pesa toka kwa wauza magendo.
Wangekua wapo siriasi kuwakamata wauza magendo wangeweza kuwatokomeza kisheria kwa kuwafikisha TRA na baadae mahakamani kama sheria inavyosema.

Hivyo ni vyema mama akachukua maamuzi sahihi bila kutetereka na kujenga taasisi imara ya kulinda watu ,Mali na haki zao katika jamii ya watanzania. Kwa sasa kuna tatizo kubwa sana. Kwani kuna maeneo uhalifu ni mkubwa sana lakini kamati za ulinzi na usalama zinadili na siasa tu na wafanyakazi kama madaktari,manesi,walimu n.k. huku watu wakiwa wanaporwa,wanabakwa,wanauawa huko vijijini, wanakatana mapanga,waporwa pikipiki na watu wanaoishi kwenye jamii. Tatizo ni watu kukosa imani na polisi hivyo wanashindwa kutoa taarifa na hata wakitoa kama hazina dili hazifanyiwi kazi.
Mambo yanayofanyiwa kazi kwa haraka ni kuzuia mikutano ya siasa ambayo kimsingi ipo kisheria na madili kama vile magendo ya kule mpakani na Malawi ,hapo gari halikosi mafuta mpaka linaingia Malawi vijijini ili kupata dili. Michezo kama hiyo haiwezi kuisha mana kuna muunganiko wa wachezaji wa dili hizo kuanzia chini mpaka Juu.
Kukata michezo ya madili hayo na kusimamia sheria ni kuteua IGP toka JWTZ Mara atakapostaafu Siro. Kwa upande wa Siro amejitahidi lakini mazoea yaliyopo yanasababisha haya yanayotokea ya kubambikia watu Kesi n.k. Ni chain ya watu wasiojali haki za watu kwa sababu tu ya kiburi tu na kulewa madaraka na pesa.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.

Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.

Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.
Kwa hiyo wewe unawafundisha na kuwahimiza hao polisi na unaowaita Mataga?

Huku ndiko kuwa na tabia za kujidhalilisha, na wakati mwingine kujionyesha unyonge bila hata ya sababu ya kufanya hivyo.

Watu mmezoeshwa kuminywa haki zenu kiasi kwamba kila jambo mnajistukia wenyewe kiasi hiki?

Inasikitisha sana.
 
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.

Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.

Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.

Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.

Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..

Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.

Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.

Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.

Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.

Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.

Sasa, je serikali na polisi wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?

Je atakapohojiwa IGP akaumbukiwa maswali, kweli polisi wako tayari twitter tuone aibu hiyo?

Mimi nadhani hawako tayari na watafanya lolote kuzuia. Kinachoweza kufuatia ni kufanya kituko chochote kwa Bonoface Jacob ili asiweze kuandika na kuzituma kokote.

Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.

Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.

Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.

Kila la heri Boniface na wengine
Ni wewe Henry Kisanduku wa risasi 36?
 
Hawa wait walituambia wanao ushahidi wa kutosha sasa kwanini wanapata tabu tukisoma jinsi wanavyomshughulikia gaidi kisheria?? Jingasana!! I
 
Sipati picha siku akija kutoa ushahidi Yule kubwa la maadui, lazima aje na shoka kwani ukataji gogo hauepukiki kwa miswali Ile ya Kibatala
 
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.

Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.

Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.

Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.

Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..

Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.

Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.

Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.

Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.

Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.

Sasa, je serikali na polisi
wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?
Kifungu kipo, ni Kifungu cha 114 (1) (d) cha Kanuni ya Adhabu (the Penal Code) tena kinatengeneza kosa la Jinai kabisa.

Kifungu hiki kiliwekwa kikoloni sana, hakiendani kabisa na wakati wa sasa. Ila Sheria ni Sheria mpaka pale itapobadilishwa au kufutwa
 
Wa mkamate kwa lipi!!? Mbona unaweweseka wanaoriport ni wengi kwenye hiyo inshu.
 
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.

Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.

Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.

Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.

Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..

Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.

Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.

Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.

Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.

Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.

Sasa, je serikali na polisi wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?

Je atakapohojiwa IGP akaumbukiwa maswali, kweli polisi wako tayari twitter tuone aibu hiyo?

Mimi nadhani hawako tayari na watafanya lolote kuzuia. Kinachoweza kufuatia ni kufanya kituko chochote kwa Bonoface Jacob ili asiweze kuandika na kuzituma kokote.

Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.

Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.

Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.

Kila la heri Boniface na wengine
Breki iko hapa:

Penal Code Act RE 2019 section 114 (c) & (d)
 
Wapo watu wenye IQ zao hata wangekataza simu wangeyameza waje kutapika huku uraiani
 
Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.
Nyie viumbe MaCCM mna roho mbaya sana, zaidi ya SHETANI.. mlaaniwe.

Mesege kama hizi mlikua mnaandika kuwaonya na kuwatisha, Ben Saanane na LISSU.
 
Inawezekana baadhi yao wanawabambikia watu kesi ili waweze kupata Posho za safari kwa ajili ya kwenda kuwakamata hao watu wanaowabambikia kesi na pia kupata fungu kwa ajili ya shughuli hizo, inawezekana ni upigaji unaofanywa na baadhi yao.
 
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.

Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.

Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.

Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.

Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..

Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.

Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.

Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.

Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.

Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.

Sasa, je serikali na polisi wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?

Je atakapohojiwa IGP akaumbukiwa maswali, kweli polisi wako tayari twitter tuone aibu hiyo?

Mimi nadhani hawako tayari na watafanya lolote kuzuia. Kinachoweza kufuatia ni kufanya kituko chochote kwa Bonoface Jacob ili asiweze kuandika na kuzituma kokote.

Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.

Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.

Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.

Kila la heri Boniface na wengine

UPDATE: September 20,2021
Tayari wamezuiwa kama nilivyotabiri

Tumewauliza polisi kosa ni nini hawakuwa na majibu , tumeingia ndani na kazi inaendelea
 
Nimetoka viunga vya mahakama muda sio mrefu, nimewasikia maaskari wakilaumiana, kuna mtu amewapita kimbinu akafanikiwa kuingoa mahakamani wakati walipanga kumzuia kuingia. Wanasema atakuwa amebadili gari maana asubuhi alipofika, mageti yote mawili walimzuia asiingie😄😄
 
Back
Top Bottom