U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Sep 20, 2021 #41 Kuliko mimi ee Erythrocyte said: Mbavu nene Click to expand...
K Kisanduku JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 284 Reaction score 483 Sep 25, 2021 Thread starter #42 Watu wasiojulikana wanamtafuta Martini kumpeleka kusikojulikana kumfanyia kisichojulikana.
HKBW JF-Expert Member Joined Aug 4, 2009 Posts 468 Reaction score 345 Sep 25, 2021 #43 Magaidi wa kweli ni polisi na nahisi wapo wanasuka mpango wa ugaidi huko. Mungu azidi kiwaumbua na kukwamisha mipango yao.
Magaidi wa kweli ni polisi na nahisi wapo wanasuka mpango wa ugaidi huko. Mungu azidi kiwaumbua na kukwamisha mipango yao.
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Sep 25, 2021 #44 Kisanduku said: Watu wasiojulikana wanamtafuta Martini kumpeleka kusikojulikana kumfanyia kisichojulikana. Click to expand... Raia mwema iliwndika "Hamza wa ccm hatari" ikafungiwa. Sasa tubadilishe tuandike "Hamza wa polisi hatari".
Kisanduku said: Watu wasiojulikana wanamtafuta Martini kumpeleka kusikojulikana kumfanyia kisichojulikana. Click to expand... Raia mwema iliwndika "Hamza wa ccm hatari" ikafungiwa. Sasa tubadilishe tuandike "Hamza wa polisi hatari".
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 26, 2021 #45 Ngoja tuone, ila mwisho lazima ufike...