Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
sisi tunataka ascore ku assist kila mtu ana assist hata mess was assisted..
Ronaldo kashaifunga barca mara 15 na atletico mara 15..kuna game gani kubwa kama Clasico kwasasa duniani mpaka useme hana impact mechi kubwa??
utapata vudonda vya tumbo kwa kupambana na messi we muulize ronaldo kawa wa 29 kwa viwango vya mchezaj bora kwa ribo mwaka 2015 baada ya kusema anataka kuvunja rekod ya mess balon dor
Hufahamu unachokisema mzee, kausha tu.Pole zako hata cr alikuwa anagomba na jose na ndio sababu ya kuondoka
Tunapoelekea sasa hivi watasema alitoa assist kwa alieassist golisisi tunataka ascore ku assist kila mtu ana assist hata mess was assisted..
Tunapoelekea sasa hivi watasema alitoa assist kwa alieassist goli
like Yanga like Barcelona
na pasi zenu za ugoko.
Pamoja naangalia burudani toka kwa Mess na Barcelona yake.
Kumwangalia Mess anavyocheza Sawa na kucheki game kwenye computer.
Haha mkuu mbona messi ameassist walioassist kuwaassist walioassist wafungaji magoli pale barca,tena messi ndio anaongozaLa liga top scores
Ronaldo;38 goals with 28 match
Messi;34 goals with 31 match
Inasemekana malaika mbinguni wamesimama kuimba, wote wanamwangalia Messi akicheza mida hii.
Wachezaji wengi wanapenda mpira, ila mpira unampenda Messi.Mess unaufanya mpira uonekane ni kazi rahisi rahisi tu ambayo hata mzembe unaweza kuucheza.
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu
Ile mechi na dortimund aliishia kufichwa na schmeizer mechi nzima mwisho wa mechi wanakula goli nne
Ukija na bayern munich aibu niliona mimi jinsi anavyofichwa na Philipe lahm alimuiba kabisa
hawa liverpool ndio walimficha ronaldo mbaya zaidi alifichwa na kolo toure huyu aliyeisha mwishoni akapewa goli la penati tena hakusababisha yeye
Mechi ya mwisho walipokutana na barcelona mwisho wa mechi Ronaldo alionekana akimwambia benzema "we were all shit"
alitaka nani akusaidie
wote mashahidi kombe la dunia jamaa alichofanya alibahatika goli moja akatoka makundi hakuwa na positive impact hata kwa ghana
Ronaldo hatembei na mpira siku hizi labda uzee umemfika akinyimwa pasi anatukana analalama mpaka vyombo vya habari vinajua hilo
He is overrated player
Unajua jana alikuwaje pale Vicente Cardelon aibu niliona mimi
Katika mechi saba alizokutana na Ateltico ameshinda goli moja msimu huu sitaki kuzungumzia fainali ya Uefa msimu uliopita alisubiri penati ndio avue nguo zake uwanjani baada ya kukutana na wanaume