Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Haha mkuu mbona messi ameassist walioassist kuwaassist walioassist wafungaji magoli pale barca,tena messi ndio anaongoza

Most assists in la liga
Messi;15
Ronaldo;12
 
Embu taja tiku kubwa yoyote ulaya ambayp c.ronaldo hahawai kuifunga?
Hvi mpira nyie uwa mnaangalia upi.?

Sijui amekula maharage ya wapi huyu jamaa.Yaani mtu ana hat trick 24 ndani ya misimu 6 wakati yule mbilikimo ana hat trick 24 ndani ya misimu 11 bado tu hajaliona hilo.Huyu kweli haangalii mpira tunaoangalia sisi.Anaongoza magoli uefa na la liga msimu wa tatu huu mfululizo yeye haoni tu.
 
Huna haja kuongea maneno mengi unapolitaja jina la Messi...

Mambo aliyoyakamilisha tayari yanazungumza yenyewe...
 

Tatizo Ronaldo anajua mpaka anakera watu.Migoli yote hiyo kafunga mtu mmoja.Kila timu haimpendi kwa sababu ameshawararua.
 
-Mkuu, naomba udadavue kidogo hapo.
-Ronaldo ana magoli 9 Camp Nou na Messi ana 5 Camp Nou. Kiaje yaani, embu dadavua kidogo.

Ronaldo ndie mchezaji aliyeifunga barca bao nyingi kuliko yoyote nou camp.goli 9
 

Ndugu yangu utaumwa vidonda vya tumbo kumchukia huyu mtu anajua na ni hatari sana.Rekodi zake ni balaa.
 
Zile goli mbili alizocharazwaga chelsea pre-season marekani ziko wapi?mbona linaonekana goli moja tu

Kafunga magoli mengi mpaka mengine wanasahau kuyaweka kwenye rekodi.Inabidi wayaweke si ndo yale alikuwa anapiga baiskeli halafu anapiga mikuki ya hatari Cahill anabaki kumwangalia tu.
 
ronaldo ajifunze kwa messi, messi amebadilika sana, ule mpira wa kua uongoze peke yako mpaka upokonywe umepitwa na wakati.
ukimuangalia messi ni mtu wa kucheza pasi na wenzake kwa team work. wala humuoni kukaripia wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…