Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... Hata Yesu alikataliwa kwao....:rockon:

Hahaa... Unanichekesha, nabii akubaliki kwao unalenga nin messi hakubaliki barcelona, au messi ni mbongo halafu wabongo tunampinga, au mim messi ni mtoto wa shangaz yangu xo nakuwa nampinga ndugu yangu.. Listen mo than talk mr. Aspirin... Why msikubali tu ukweli, sawa messi tunakubali ni bora kwann mbishe ktk vitu ambavyo ni ukweli. Wakat mwngne tuwe wepes kukubali ukweli, mf. Sawq ni mzuri ila malaya, au sawa ni mzur ila tako hana, hahaa.. Xo unapomkuli kuwa maishani yapokee tu na mapungufu yake..
 
Same to me brother, Ricardo izecson dos santos Leite alikuwa mchezaji, nadiriki kusema tuzo ya mwisho fair ya ballon d or alipewa huyu bwana. Baada ya hapo ni fujo mtindo mmoja, mara kura ziibiwe, mara vigezo visieleweke, full drama.

Kwa sasa mchezaji ninayemuona ana talent isiyo shaka ni James Rodriguez, atakuwa na bright future huyu dogo

Aahh... Iliboa sana hii ronaldo n messi ni vita ya kibiashara pia, 2010 walimnyima ballon d or wesley sneijder kama utan ila ni yeye pekee alikuwa anastahili kwa asilimia buku... Sitak hiz kero za andunje na robot

Super james rodriguez namkubali kwa 200% ni mchezaj mzur tena sana...
 
-Huyu James anacheza mpira balaa, naweza nikamfananisha na Neymar hapo mbele endapo Neymar akaacha kucheza mpira mlaini.
 
Boss, kwanza hakuna Real Madrid ya Ronaldo wala mtu yoyote yule. Na Ronaldo hachezi Madrid, matter-fact hachezi kabisa, ameshastaafu.

Pili, binafsi nakubali Messi ni zaidi ya Cristiano Ronaldo, ila huyu Messi mnayem-paint utakatifu si ndio alimgomea coach kutolewa uwanjani, na kukwaruzana na Lucho mazoezini, ama ni yupi?

Acheni hizi mambo bana, sifia wa kwako ila usimuongelee vibaya mwingine.

Kilaza kwel ww
 
Real talk man.
Messi ndio responsible kwa careers za David Villa na Ibra kutofana Barca. Messi ndio anamfukuzisha kazí Lucho mwisho wa msimu. Messi mkwepa kodi. Messi mpita na hela za charity matches. Messi huyo huyo alipigwa sindano za dawa za farasi(not) ili akue. Messi huyo huyo alishajibizana publicly na then makamu wa Rais barca(Bartomeu nadhani), kuhusu kuongeza mkataba.

Ila bado, Messi ni mtakatifu? SMDH.

-Kwa kusema Messi ndo kafanya Villa na Ibrahimovic waondoke mimi nakupinga.
-Villa anaondoka Barca akiwa tayari anasumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara na kumfanya kiwango chake kushuka. Ndo maana hata Atletico Madrid hawakukaa nae sana, kingine Villa ni winga ya kushoto ila mpira wake sio wa kasi sana, hapa nadhani hata wewe unathibitisha na unaona tofauti kubwa kati ya Neymar na Villa.
-Ibrahimovic alikuwa ni mzigo vilevile, Pep Guardiola alisemwa sana kuhusiana na ujio wa Ibrahimovic, tangu mwanzo board ilibashiri kwa mfumo wa Barca, Ibrahimovic asingeweza kuumudu. Kumbuka Ibrahimovic kipindi hiko ndo alikuwa ametoka kwa Jose Mourinho.
 
Aahh... Iliboa sana hii ronaldo n messi ni vita ya kibiashara pia, 2010 walimnyima ballon d or wesley sneijder kama utan ila ni yeye pekee alikuwa anastahili kwa asilimia buku... Sitak hiz kero za andunje na robot

Super james rodriguez namkubali kwa 200% ni mchezaj mzur tena sana...

-Hata 2014, Manuer Neur na Muller walibeba makombe matatu kama sikosei pamoja na WORLD CUP but cha kushangaza kapewa ronaldo mchezaji bora ambae kabeba kombe la mfalme na ligi ya mabingwa.
-Mwaka juzi pia Frank Ribery alibeba makombe yoteee, Ronaldo hajabeba hata moja, at least Messi alibeba Ligi lakini kombe kwa ronaldo.
-FIFA waangalie ktk hili, wachezaji wengine wanavunjika moyo kwa kuona kuwa hizi tuzo wao hawawezi kupata isipokuwa kwa wachezaji wawili tuu.
 
Mkuu Mselewa, mimi nimeitazama mechi ya Barca na PSG tangu mwanzo hadi mwisho. Ilicheza vizuri sana. Bahati mbaya sikuona mechi ya AT Madrid na Real. Ila nimeona ubora wa teamwork kwa upande wa Barca huku PSG wakipoteana kabisa hasa kipindi cha kwanza. Messi alicheza vizuri ila hakuwa kwenye form yake tuliyoizoea mwaka huu. Mara kadhaa alijaribu kutoa mapande yakashindwa kufikia walengwa...hii haiondoi ukweli kuwa Messi ni gwiji la soka. Mengine kuhusu Real siwezi kuyasemea
 
-Kwa kusema Neymar ndo kafanya Villa na Ibrahimovic waondoke mimi nakupinga.
-Villa anaondoka Barca akiwa tayari anasumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara na kumfanya kiwango chake kushuka. Ndo maana hata Atletico Madrid hawakukaa nae sana, kingine Villa ni winga ya kushoto ila mpira wake sio wa kasi sana, hapa nadhani hata wewe unathibitisha na unaona tofauti kubwa kati ya Neymar na Villa.
-Ibrahimovic alikuwa ni mzigo vilevile, Pep Guardiola alisemwa sana kuhusiana na ujio wa Ibrahimovic, tangu mwanzo board ilibashiri kwa mfumo wa Barca, Ibrahimovic asingeweza kuumudu. Kumbuka Ibrahimovic kipindi hiko ndo alikuwa ametoka kwa Jose Mourinho.
Haha naona bado una hang-over ya ushindi, nani kamtaja Neymar? Na info zako sijui unatoaga wapi mzee, unazo wewe tu.
 
Mkuu Mselewa, mimi nimeitazama mechi ya Barca na PSG tangu mwanzo hadi mwisho. Ilicheza vizuri sana. Bahati mbaya sikuona mechi ya AT Madrid na Real. Ila nimeona ubora wa teamwork kwa upande wa Barca huku PSG wakipoteana kabisa hasa kipindi cha kwanza. Messi alicheza vizuri ila hakuwa kwenye form yake tuliyoizoea mwaka huu. Mara kadhaa alijaribu kutoa mapande yakashindwa kufikia walengwa...hii haiondoi ukweli kuwa Messi ni gwiji la soka. Mengine kuhusu Real siwezi kuyasemea

-Basi Mkuu nakushauri uwe unaangalia mpira, najua ni majukumu ndo yanawezekana yakakufanya usiangalie mpira jana. Pole sana kwanza.
-Jana Ronaldo hata shuti hajapiga, jana Madrid wamecheza wenzake tuu ila yeye kapotea vibaya vibaya, harafu siku hizi kawa mzito kukimbiza mpira balaaa yaani kapitwa hata na Mrisho Ngassa wa Yanga.
 
Sasa mkuu kuna haja gani ya kuibeba timu mpaka fainali alafu ukashindwa kuibeba kuchukua ubingwa,halafu magoli yote alioyafunga messi alifunga kwenye group stage knockout stage hakufunga hata goli moja,na nafikiri kukosekana kwa de mariah ndiko kulko pelekea messi kutofunga kwenye knockout stage mpaka kupelekea timu kukosa ubingwa...de mariah ndie aliekua na mchango mkubwa kwa timu

-Kuingia fainal na kukosa kombe ni ajabu?
-Mbona hata huyo Ronaldo kashaingia Final UEFA na akakosa kombe?
-Mbona hata huyo Ronaldo wako hajaifikisha Ureno hata hatua ya mtoano?
-Kwa kumalizia, nani kakwambia Di Maria ndo alikuwa na mchango mkubwa kwa Argentina, vitu vingine kwa kweli vinashangaza sana, kwanini yeye asingebeba mchezaji bora wa World Cup 2014. Embu lete Data zinazoonesha Di Maria kuwa yeye ni bora kuliko Messi ktk World Cup. Hizo data zioneshe, Assist, Goals n.k
 
Hahaa... Unanichekesha, nabii akubaliki kwao unalenga nin messi hakubaliki barcelona, au messi ni mbongo halafu wabongo tunampinga, au mim messi ni mtoto wa shangaz yangu xo nakuwa nampinga ndugu yangu.. Listen mo than talk mr. Aspirin... Why msikubali tu ukweli, sawa messi tunakubali ni bora kwann mbishe ktk vitu ambavyo ni ukweli. Wakat mwngne tuwe wepes kukubali ukweli, mf. Sawq ni mzuri ila malaya, au sawa ni mzur ila tako hana, hahaa.. Xo unapomkuli kuwa maishani yapokee tu na mapungufu yake..

Linapokuja swala la kabumbu.... Messi ni mtakatifu. Hana dhambi.

Wakristu wana Yesu
Waislam wana Mohammad
Soka lina Messi
 
Haha naona bado una hang-over ya ushindi, nani kamtaja Neymar? Na info zako sijui unatoaga wapi mzee, unazo wewe tu.

Ni makosa madogo, weka Messi baada ya Neymar, najua hauna hoja za kujibu ndo maana unasema info zangu hujui ninakozitoa.
 
Linapokuja swala la mess vs cr7. Huwa nipo upande wa ronaldo
 
Ni makosa madogo, weka Messi baada ya Neymar, najua hauna hoja za kujibu ndo maana unasema info zangu hujui ninakozitoa.
Sielewi unaponiambia bodi inabashiri mfumo, wakati mi nachojua Pep ndio alikuwa na maamuzi yote ya kiufundi kuhusu timu, na walimheshimu kinoma.

Pia nafahamu Messi aliwahi kumkoromea Villa (sikumbuki mechi gani) kwa kukosa goli na kumnyima pasi, wakati wanaenda mapumziko alionekana Messi akisema kitu kuelekea alipokuwa amekaa President wa Barca. Wataalam wa kusoma lips wakasema alisema hataki tena kucheza na Villa kamwe, toka siku hiyo maisha ya Villa yakawa magumu.

Pia Pep aliwahi kukiri kwa Mino kwamba Messi hana raha kucheza na Ibra, kuanzia hapo maisha ya Ibra yakawa magumu na ndio uhusiano wake na Pep ukaharibika since Pep hakuwa na balls za kumuelezea Ibra nini kinaendelea. Ibra alijaribu ku-sign Madrid kulipa kisasi ila Madrid wakakataa.

Bottom-line, Messi ni mkali, ila hakaribii utakatifu mnaompa.
 
hahaa... Unanichekesha, nabii akubaliki kwao unalenga nin messi hakubaliki barcelona, au messi ni mbongo halafu wabongo tunampinga, au mim messi ni mtoto wa shangaz yangu xo nakuwa nampinga ndugu yangu.. Listen mo than talk mr. Aspirin... Why msikubali tu ukweli, sawa messi tunakubali ni bora kwann mbishe ktk vitu ambavyo ni ukweli. Wakat mwngne tuwe wepes kukubali ukweli, mf. Sawq ni mzuri ila malaya, au sawa ni mzur ila tako hana, hahaa.. Xo unapomkuli kuwa maishani yapokee tu na mapungufu yake..

alimaanisha kwa sasa mnamuona hafai alafu mnamsubiri afe ili dunia ianze kumkumbuka oooh mara hakuna kama yeye mara hv wakati huo yupo heaven
 
-Kuingia fainal na kukosa kombe ni ajabu?
-Mbona hata huyo Ronaldo kashaingia Final UEFA na akakosa kombe?
-Mbona hata huyo Ronaldo wako hajaifikisha Ureno hata hatua ya mtoano?
-Kwa kumalizia, nani kakwambia Di Maria ndo alikuwa na mchango mkubwa kwa Argentina, vitu vingine kwa kweli vinashangaza sana, kwanini yeye asingebeba mchezaji bora wa World Cup 2014. Embu lete Data zinazoonesha Di Maria kuwa yeye ni bora kuliko Messi ktk World Cup. Hizo data zioneshe, Assist, Goals n.k

Hakuna hoja ya msingi ila waliona bora wampe dimaria sababu messi alichukua mara 8 mfululizo sasa na mwakani walijua lazma atachukua hvyo wakaona si vema kumpa messi tena ni bora tumpe dimaria naye asafishe nyota sababu kipindi hko alisajiliwa na man u
 
Messi ni bora kuliko Cristiano.
Messi si bora kabisa kuwahi kutokea, yet.
Messi si innocent wala mtakatifu, ni mahaba yenu tu.
 
nimewapa fact hapo la liga siiangalii ila uefa naangalia ndio maana nimewatajia mechi kubwa ambazo ronaldo ni mavi sasa mechi ipi kubwa ronaldo kafanya vizuri mnakuja na taarabu zenu hapa tokeni

Wewe ndo mjinga kabisa my be unautoto..unataka kuniambia makocha wote duniani na ma captain wote wanaomchagua kuwa ni mchezaji bora wewe ni nani uje utoe mada kama hii?..mwaka jana hakufunga magoli17..ambayao hayafungwa na mchezaji yeyote kwenye CL..huridhiki tu..kama huangalii la liga..then huwai kumjadili huyo mtu!
 
Araf kama mech ya Liverpool alishafunga bao zuri pale anfield na kuhusu Philip Rahm hata mess anamjua mbna walipigwa nne na hakutoa msaada wowote...nafkir fifa ndo wanajua kazi ronaldo sio wewe
 
Back
Top Bottom