Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji.
Jana saa 6 usiku nimewapigia madereva wangu wote kwenye conference call kupitia group la Whatsapp kuwaamuru wawajulishe makondakta kuwa askari yeyote mwenye uniform atalazimika kulipa nauli kabla hajapanda gari.
Nimewaambia atakaye kaidi asiingie na kama atakwenda kushtaki popote basi kesi hiyo nitabeba mimi.
Nadhani nitakuwa nimefanya sehemu yangu katika kuhakikisha kuwa nawawekea vikwazo vya kiuchumi.
Nitamwandikia mwenyekiti wa chama chetu ili ikiwezekana kwenye mkutano ujao, wamiliki wote tukatae kubeba mizigo hii isiyojali utu.