Inaonekana hata akiziua siku hiyo zinashinda.sa c ndo uwe unaziua kwenye mikeka yako mana wanakuwa na odds taam
Ndo ujue Kanji sio Ndugu yakoInaonekana hata akiziua siku hiyo zinashinda.
Kwani kubet ni lazima uziwekee zinashinda?Aman iwe nanyi wakuu
Kuanzia leo sitarudia tena kuzibetia hizi team mbili za kwa malikia yaan arsenal na man u
Hizi team zimekuwa ni team za hovyo hovyo sana wachezaji wake wanacheza kama hawajala siku nane
Zimenichania sana mikeka sasa yatosha
Yatosha
Yatosha
Yatosha kuchaniwa mikeka na team za kipuuz puuz
LONDON BOY
We jamaa ni muongo mpk unajidanganya mwenyeweChelsea
The bluesChelsea