Kuanzia leo nimeacha kuzibetia Man U na Arsenal zinanichania sana mikeka

Kuanzia leo nimeacha kuzibetia Man U na Arsenal zinanichania sana mikeka

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu

Kuanzia leo sitarudia tena kuzibetia hizi team mbili za kwa malikia yaan arsenal na man u

Hizi team zimekuwa ni team za hovyo hovyo sana wachezaji wake wanacheza kama hawajala siku nane

Zimenichania sana mikeka sasa yatosha

Yatosha

Yatosha

Yatosha kuchaniwa mikeka na team za kipuuz puuz

LONDON BOY
 
Wenzio tunabetia Singida united kila mechi wanapigwa na bado hatujakata tamaa.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kuanzia leo sitarudia tena kuzibetia hizi team mbili za kwa malikia yaan arsenal na man u

Hizi team zimekuwa ni team za hovyo hovyo sana wachezaji wake wanacheza kama hawajala siku nane

Zimenichania sana mikeka sasa yatosha

Yatosha

Yatosha

Yatosha kuchaniwa mikeka na team za kipuuz puuz

LONDON BOY
Kwani kubet ni lazima uziwekee zinashinda?
 
Back
Top Bottom