Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama.

Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu.
Mlipigwa na Raja kwenye Full House hamkujifunza na Leo Yanga kawapiga Tena goli Nyingi.

Basi Leten mabango yenu ya kua mnahamasa kubwa washabiki wengi mara blaaa blaaa Nyingii.

#IF GOD IS FOR US, WHO CAN BE AGAINST US?🏹
 
Dah! Ila leo simba wamekiona cha mtema kuni. Yaani wamefungwa, na pia kuchezeshwa mpira wa kwenye kitabu ndani ya dakika zote 90!

Muda mwingi walikuwa wanarudi nyuma, ili wabahatishe counter attack!! Yaani kiufupi walionesha wazi walizidiwa kimbinu, na pia kimchezo na Yanga.
 
Matokeo ya yanga dhidi ya Ihefu yalipotosha... Yanga saizi sio timu yakubishana nayo hovyooo.....!!.
Aliyewaleta key,pacome na max dhambi zake zote apewe Mangungu🤭🤭😅
Haloooooo👋👋
WALIYATIMBA😂
 
Dah! Ila leo simba wamekiona cha mtema kuni. Yaani wamefungwa, na pia kuchezeshwa mpira wa kwenye kitabu ndani ya dakika zote 90!

Muda mwingi walikuwa wanarudi nyuma, ili wabahatishe counter attack!! Yaani kiufupi walionesha wazi walizidiwa kimbinu, na pia kimchezo na Yanga.
Yanga ya saiv ipo katika Ulimwengu wa SPAIN ki Mpira
 
Back
Top Bottom