THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Amka utajikojoleaNilifikiri Yanga kasajili sana kumbe ni Mungu yupo kwenu
Alisikika Mlevi flan akisema....Nilifikiri Yanga kasajili sana kumbe ni Mungu yupo kwenu
Wanafikiri Mpira wa saiv ni Kujaza uwanjaEngineers don't talk too much, Hersi is applying the rules, kolo kazi kubwabwaja tu!
WALIYATIMBA😂Matokeo ya yanga dhidi ya Ihefu yalipotosha... Yanga saizi sio timu yakubishana nayo hovyooo.....!!.
Aliyewaleta key,pacome na max dhambi zake zote apewe Mangungu🤭🤭😅
Haloooooo👋👋
Yanga ya saiv ipo katika Ulimwengu wa SPAIN ki MpiraDah! Ila leo simba wamekiona cha mtema kuni. Yaani wamefungwa, na pia kuchezeshwa mpira wa kwenye kitabu ndani ya dakika zote 90!
Muda mwingi walikuwa wanarudi nyuma, ili wabahatishe counter attack!! Yaani kiufupi walionesha wazi walizidiwa kimbinu, na pia kimchezo na Yanga.
Hata huyo Ngoma alipoteana sana Second HalfKama Simba kweli ilimuiba Ngoma pale uwanja wa ndege basi tunashukuru sana.... Mlituepusha mzigo mwingine Kama wa Nkonkoni🙌🙌🙌🤭.