Kuanzia makazini,Mitaani,Majumbani,wamemkataa huyu Mama

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Yaani ukiwa makazini bila kuangalia ni sekta binafsi au ya serikali,ukija mitaani awe mtu mzima kijana au mtoto,Majumbani mwetu kuanzia wake zetu watoto kina baba mpaka wafanyakazi wa ndano hawampendi huyu mama.
Yaani sijawi kuona Rais aliyekataliwa kama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…