kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
1754140356252.png
 
 
Ninyi na hizo mada zenu za kuwatisha watu mnachekesha sana.Sungura maisha yake yote ni mbiombio na ujanjaujanja ila anaoishi maisha mafupi sana.Njoo kwa kobe anayeishi kivivu hata kutembea (maana kukimbia hajawahi)tu ni query.Wapeni watu moyo ili waishi kwa furaha tu.
 
Ninyi na hizo mada zenu za kuwatisha watu mnachekesha sana.Sungura maisha yake yote ni mbiombio na ujanjaujanja ila anaoishi maisha mafupi sana.Njoo kwa kobe anayeishi kivivu hata kutembea (maana kukimbis hajawahi)tu ni query.Wapeni watu moyo ili waishi kwa furaha tu.
Kabisa mkuu,yan ni full vitisho aisee,eti hata mtu wa miaka 30-45 vitisho anavyopewa ni kma kashagonga miaka 75-80
 
Ninyi na hizo mada zenu za kuwatisha watu mnachekesha sana.Sungura maisha yake yote ni mbiombio na ujanjaujanja ila anaoishi maisha mafupi sana.Njoo kwa kobe anayeishi kivivu hata kutembea (maana kukimbia hajawahi)tu ni query.Wapeni watu moyo ili waishi kwa furaha tu.
kobe anakunywa pombe? sisi tunasema ukwel hatuna nia ya kushangilia uongo hali ni mbaya
 
Kila nafsi itaonja umauti,hayo mengine ni kujaribu kuongeza tu siku za kuishi bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom