Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

simba ndiyo club kubwa ya kwanza Africa kutembea na Costa namba A na ndiyomaana wachezaji wake hawana furaha wala motisha.
 
Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza,
Katika msimamo wa ligi hii inayoendelea, Simba ndio timu yenye mabao mengi ya kufunga na machache ya kufungwa kuliko timu zoote. Sijajua inaokoteza ushindi namna gani
 
Kwani ihefu si ndo alikutoa bikra ukiwa na miaka 59 au umesahau?
Tatizo ule mwiko uliosokomezwa kule kwenye mashamba ya mpunga na ihefu unakuchanganya sana mpaka unamtaja taja mume wako
 
Kumbe ilikuwa inawashtuashtua eeeeeh
 
Mimi niwaombe au niwashauri wachezaji wa simba kuwa wasijali habari za posho, mishahara kuchelewa wala jambo lingine lolote lenye kukatisha tamaa badala yake wajikite kupambania ubora wao (individually na kitimu) uwanjani kwa kujituma vilivyo wakiibeba timu kisha waonekane na timu zingine kubwa zaidi wachukuliwe huko kwa manufaa yao zaidi na zaidi.
 
Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao wanasumbua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…