Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Salary ya mwezi huu tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaa
Wawezeshaji tupoSa mbona rejesho ni trh 26 jamani nitafanyaje...
Huyo ni mteuliwa ajaye, huenda hata akawa boss wako siku yeyote akilamba teuzi hivyo nenda naye taratibu mkuu.We dogo cheza michezo yako, viwanja vyetu usiguse. We ata check number unayo wewe? Ebu tupishe.
Waambie mama hajacheka.Saa 10 hii mambo bado!
Marejesho leo sijui itakuwaj
Aloo, hapo vilaza wa hesabu hawawezi kikuelewa,hutumia sana .1/580 msala sana,yaani kama kilo moja zaman mlikuwa mnakula watu 540 sahivi kilo moja Ile Ile mnakula watu 580 hapo mtashiba kweli?😀😀😀Huyo mwenyekiti anajua kuwa formula ya kikokotoo imebadilia kutoka 1/540 kwenda 1/580?
Pamoja na kuwa, wanaojua tumepigwa ni wale waliofaulu hesabu
si leo au?Salary ya mwezi huu tayari?
Kazi mnayosi leo au?
"Nikifa mtanikumbuka" liwahi sema marehemu ila wanaomsikiliza wakachukulia powa!Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
Wafanyakazi wote wa Serikali? Maana vyombo vya ulinzi huwa wanapewa mshahara tarehe hizo halafu tarehe 30 wanaingiziwa zile pesa zao za sijui ndio lesheniTaarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
😂😂😂😂😂🙌🏿Sa mbona rejesho ni trh 26 jamani nitafanyaje...