Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

We dogo cheza michezo yako, viwanja vyetu usiguse. We ata check number unayo wewe? Ebu tupishe.
Huyo ni mteuliwa ajaye, huenda hata akawa boss wako siku yeyote akilamba teuzi hivyo nenda naye taratibu mkuu.
 
TUCTA wamechelewa kukanusha.

It is true in this era of internet and social network, you can't be as fast as internet, but still internet can never be faster than you when you want to use it for the same purpose.
 
Huyo mwenyekiti anajua kuwa formula ya kikokotoo imebadilia kutoka 1/540 kwenda 1/580?
Pamoja na kuwa, wanaojua tumepigwa ni wale waliofaulu hesabu
Aloo, hapo vilaza wa hesabu hawawezi kikuelewa,hutumia sana .1/580 msala sana,yaani kama kilo moja zaman mlikuwa mnakula watu 540 sahivi kilo moja Ile Ile mnakula watu 580 hapo mtashiba kweli?😀😀😀
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
 
"Nikifa mtanikumbuka" liwahi sema marehemu ila wanaomsikiliza wakachukulia powa!
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
Wafanyakazi wote wa Serikali? Maana vyombo vya ulinzi huwa wanapewa mshahara tarehe hizo halafu tarehe 30 wanaingiziwa zile pesa zao za sijui ndio lesheni
 
Hawakutakiwa waende mbali hivo kwa wakati mmoja, walitakiwa waende mdogomdogo hadi kuifikia hiyo tarehe 30, mfano mwezi huu waanze na 24 au 25, mwezi ujao 26 au 27, mwezi unaofatia 28 au 29, kazi imeisha na wanakuwa washafikia malengo yao. Lakini gap la siku 6 hadi 8 kutoka mshahara wa mwezi may, sio poa kabisa wandugu.
 
Back
Top Bottom