technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kwalipi hasa mlilofanya la ajabu?Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi
Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa .
Iwe kwenye huduma au siasa au chochote.
Kuanzia Leo uchawa utakoma
Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua.
Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena.
Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawai kushahudiwa toka tupate Uhuru.
Tanzania haitakuwa ile tena watu tutaheshimina tena ule utu wa mtu kutwezwa na vijana kutukanwa ndio umezikwa rasmi leo.
Vijana wa TANZANIA hongereni kwa kupigania haki kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.
Waliokufa Mungu awalaze mahali pema peponi ni mashujaa wa Taifa
Tanzania haitakuwa tena Shamba la Bibi I'm so proud of Tanzania.🇯🇲🇯🇲🇯🇲.
Kwalipi hasa mlilofanya la ajabu?
Dharau ndio kwanza zinaongezeka na zitaongezeka maradufu. Wahuni hawajui njia nyingine yoyote.Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi
Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa .
Iwe kwenye huduma au siasa au chochote.
Kuanzia Leo uchawa utakoma
Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua.
Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena.
Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawai kushahudiwa toka tupate Uhuru.
Tanzania haitakuwa ile tena watu tutaheshimina tena ule utu wa mtu kutwezwa na vijana kutukanwa ndio umezikwa rasmi leo.
Vijana wa TANZANIA hongereni kwa kupigania haki kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.
Waliokufa Mungu awalaze mahali pema peponi ni mashujaa wa Taifa
Tanzania haitakuwa tena Shamba la Bibi I'm so proud of Tanzania.🇯🇲🇯🇲🇯🇲.
Sidhani kama watakua na dharau kama mwanzoni, sahiz watarudi kwa adabu wakijua watanzania they are capable of that, so wasijisahauDharau ndio kwanza zinaongezeka na zitaongezeka maradufu. Wahuni hawajui njia nyingine yoyote.
Heshima ya kweli ni kuwasikiliza Watanzania nini wanataka.
Vitu kama kodi zetu zinatumika kufanya nini, katiba mpya, dili zote zinazohusu Tanzania ziwekwe wazi, tume huru ya uchaguzi uchaguzi urudiwe, wafungwa, mateka wote wa kisiasa waachie huru, serikali ikomeshe utekaji, utesaji, mauaji na kutupa watu magereza. Mahakama, bunge, vyombo vya habari kuwa huru.
Mpaka wafanye haya ndio mimi nitakubali wanawaheshimu Watanzania.
Mahakama ya ICC ni lazima yapelekewe mashitaka. Haya ni mauaji ya kimbari. Serekali inapita kutishia majeruhi hospitali ili kupoteza ushahidi. Huko Songwe maiti zote zimeibwa, nadhani wameenda kuwazika kwenye kaburi la pamoja. Tupaze sauiti iii kesi ifunguliwe haraka.Nadhani huu mziki bado sana
Nilichoona ni uoga kuongezeka mitaani
Nani anayepgopa na anamuogopa nani?Nilichoona ni uoga kuongezeka mitaani
Kama sio mwaka huu, mwakani hilo litatokea.Snipers wastaafu Tanzania tuondoleeni hiyo takataka toka Kizimkazi.
Just kill her.