GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bado hatujaheshimiana ww angalia hata humu kuna black mambas zinachekelea na kuita wale wahuni walio jaribu kuleta vurugu yaaan km watu wanaopinga utekaji, ufisadi wao hawana haki ya kupinga ... Mfano bora ni lucas msambwada
Ukiona mtu anashabikia hii serikali na yaliyotokea huyo ni Laana kwa taifa na ni hasara pia na pia mnufaika wa mfumo wote wa kifedhuli
 
Vip kuhusu haki ya wale nilowashuhudia wakidhulumiwa maisha yao? Unajua nyie keybody wariors ni buree kabisa. Nimeona watu wakifa kama panya mbele ya paka, nimeona watu wakipigwa kama wanapurwa kama udaga, mi mwenyewe nimeonja joto la jiwe baada ya kupigwa na rungu la yule mbwa. Halafu unaongea kirahisi tu eti "hakuna dharau kwa watanzania!" keybody wariors utawajua tu.
 
..walichofanya gen-Z ni jambo kubwa sana ukizingatia jinsi genge la Ccm lilivyokuwa likiwadharau Watanzania. Kusababisha Rais akaapishwa "uani" si jambo dogo.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom