FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
LikedZanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Zanzibar kiupeo wa kitaifa, civic awareness, wamejanjaruka kuliko Watanganyika. Zanzibar walikataa kuitwa Tanzania Visiwani zamani.Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Ni sisi wenyewe hatutaki kuitwa Wa-Tanganyika!Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Pia inajulikana kama Tanzania Visiwaniinaitwa Zanzibar
Unaposema bandari zilizogawiwa bure una maana gani?Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Hata ikiuzwa moja tu Mkuu, bado inauma saaanaUnaposema bandari zilizogawiwa bure una maana gani?
Wakati,
(1) bandari haijtolewa bure hao DP World wanawajibika kuilipa serikali ya Tanzania matrilioni ya mashilingi
(2) mkataba ni wa bandari moja ya Dar, sio ya Mtwara wala Tanga, wala Pangani, wala Kilindoni Mafia, wala sio Nyamisati
Ila mmeng'ang'ana bandari imetolewa bure, mara bandari zimeuzwa bandari ngapi, na ni moja tu tena haijauzwa wala kutolewa bure, kaja uwekezaji ambaye kajiaminisha anaweza kulipa matrilioni akiisimamia, na sisi tunataka tuone hayo matrilioni atakavyoyaleta