Kuanzia sasa iwe ni marufuku kutuita Tanzania bara, ni Tanganyika

Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?

Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Liked
 
Zanzibar kiupeo wa kitaifa, civic awareness, wamejanjaruka kuliko Watanganyika. Zanzibar walikataa kuitwa Tanzania Visiwani zamani.

Na sisi tulivyo viazi tukakubali kufuta Tanganyika, mpaka zikaanzishwa wilaya zinaitwa Tanganyika eti kufuta historical identity ya utaifa wa Tanganyika.

Watu milioni 60 tunapelekwa puta na kakundi kadogo ka kisiwa ka Zanzibar.
 
Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?

Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Ni sisi wenyewe hatutaki kuitwa Wa-Tanganyika!
 
Screenshot_20230622_091504_WhatsApp.jpg
 
Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?

Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Unaposema bandari zilizogawiwa bure una maana gani?
Wakati,

(1) bandari haijtolewa bure hao DP World wanawajibika kuilipa serikali ya Tanzania matrilioni ya mashilingi

(2) mkataba ni wa bandari moja ya Dar, sio ya Mtwara wala Tanga, wala Pangani, wala Kilindoni Mafia, wala sio Nyamisati

Ila mmeng'ang'ana bandari imetolewa bure, mara bandari zimeuzwa bandari ngapi, na ni moja tu tena haijauzwa wala kutolewa bure, kaja uwekezaji ambaye kajiaminisha anaweza kulipa matrilioni akiisimamia, na sisi tunataka tuone hayo matrilioni atakavyoyaleta
 
wewe ndio mtanganyika wa kwanza kukubali kuitwa mtanganyika hongera sana
 
Unaposema bandari zilizogawiwa bure una maana gani?
Wakati,

(1) bandari haijtolewa bure hao DP World wanawajibika kuilipa serikali ya Tanzania matrilioni ya mashilingi

(2) mkataba ni wa bandari moja ya Dar, sio ya Mtwara wala Tanga, wala Pangani, wala Kilindoni Mafia, wala sio Nyamisati

Ila mmeng'ang'ana bandari imetolewa bure, mara bandari zimeuzwa bandari ngapi, na ni moja tu tena haijauzwa wala kutolewa bure, kaja uwekezaji ambaye kajiaminisha anaweza kulipa matrilioni akiisimamia, na sisi tunataka tuone hayo matrilioni atakavyoyaleta
Hata ikiuzwa moja tu Mkuu, bado inauma saaana
 
Back
Top Bottom