Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe.

Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani.

Padri akaanza kubatiza mtoto mmoja mmoja anamuweka kwenye maji Kisha anamtoa anampa jina jipya.

Jamaa baada ya Ibada akarudi zake nyumbani, akachukua bia 3 za safari lager akaziweka mezani na ndoo ya maji.

Akazidumbukiza bia kwenye maji akazitoa Kisha akasema.

"Kuanzia sasa mmekuwa wapya, hamtoitwa tena safari lager Bali mtaitwa Azam cola" 😂

akakaa akaanza kupiga Azam cola zake 😂😂😂
 
Back
Top Bottom