Fernando Wolle
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 387
- 770
Kwanza wewe ni mwoga wa kufanya business utambue hilo. Mjasiriamali hutakiwi kuogopa kufilisika it happens kufilisika hata mara nne baadae utatoboa. Wewe tafuta ajira tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIzo hela umezipataje..?? Biashara zote hz hapa tanzaniaNi muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Aisee unamtaji mkubwa ingekuwa mm ndo nina mtaji huo hakika singeweka wote ningeanza na million 10 tu nyingine baadae kwa wazo nililonaloNi muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Pole mkuu usivunjike moyo mbona dsm kuna vtu vya kuwekeza na vtakulipaWakuu naleta mrejesho,
Niliingia kwenye kilimo aiseee, nikipata Gunia name tu na wakati niliweka kama 10M ingawa hata shamba nilinunua lakini duuhh kilimo si mchezo, sasa hivi nimeona nirudi dar
😀😀😫 Life is not fairDah, maisha ya biashara bhana
Wengine Wana mitaji hawajui biashara tunaojua tunahangaika na scaling kazi kweli kweli
Mkuu kama hela bado ipo njoo tushirikiane biashara ya uhakikaWakuu naleta mrejesho,
Niliingia kwenye kilimo aiseee, nikipata Gunia name tu na wakati niliweka kama 10M ingawa hata shamba nilinunua lakini duuhh kilimo si mchezo, sasa hivi nimeona nirudi dar
Njoo tuwekeze kwenye biashara ya majeneza inalipa sana hutojuta!Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Kabisaaa😀😀😫 Life is not fair
hata pale oyster bay polisi, au wale latra uki pata connection ya kununua. Zile boda au bajaji.Pikipiki unaenda kuzilenga kwenye kampuni za wakopeshaji kama watu. Zile ambazo watu wamefeli marejesho zinauzwaga bei rafiki sana na huwa ziko bomba.